Kesi ya Mbowe vs Kesi ya Musiba

Ruling ya Mbowe ilipotolewa kuwa ana kesi ya kunibu wafuasi wake walilalamika kuwa .mahakama inatumiwa na haijatenda haki. Hicho ndicho ninachohoji kwanini kwa Mbowe mahakama iwe imetumiwa lakini kwa Musiba judgemeñt iwe imetenda haki? Sio unafiki hio?
 
Hiyo ni tafsiri yako lakini zote ni hukumu. Mengine yote ni hoja.
 
S
Shida yenu ni kwamba kila anayedai haki Tanzania basi huyo ni chadema huu ni upumbavu wa kisukuma. Mtu humjui akitoa msimamo wake juu ya jambo husika baasi huyo chadema. Hapo baada ya dk chache utamtaja lema,lisu nk. Wajinga nyie
 
Utalinganisha kesi ya Mbowe na huyo shetani Musiba,aende chato
 
Yaani wewe Bila kuitaja taja CHADEMA haupati nafuu kama vile umemwagiwa UPUPU.....na dawa ya UPUPU ni kuitaja taja CHADEMA NDIO unapata unafuu😀😀😆😆😊😊🤓🤓
 
Mmmh kuna nyuzi ukisoma unaona aibu mwenyewe, what kind of thinking is this?
 
Kesi ya Mbowe ni mwendesha mashtaka ndiye aliyeiondoa mahakamani. Uamuzi wa mwisho wa Mahakama ulikuwa “Mbowe ana kesi ya kujibu” lakini mahakama isingeweza kuendelea bila DPP kutaka.

Kwa Musiba ni habari nyingine kama mnavyojua. Msichanganye mambo.
 
Hata Mimi niliona judge alikuwa controlled, kuna ushahidi gani ulitolewa kuonesha kwamba Mbowe alitenda ugaidi au alipaanga ugaidi?. Hata mtoto mdogo angejua hapa ni kesi ya mchongo.

Kwa Musiba alifanya hadharani kwa kuitisha waandishi wa habari kila siku na pia kuchapisha uzushi Kwenye magazeti yake watu wakiona.

Huwezi kuchukulia mtu aliyeonekana na kila mtu akikashfu ukamlinganisha na mtu ambaye kosas lake ni ugaidi na ugaidi Tanzania hamna.
 
Hiyo ni tafsiri yako lakini zote ni hukumu. Mengine yote ni hoja.
Hapana , ya Mbowe ilikuwa Rulling of case to answer sio judgment. Lakini kwa musiba ilikuwa judgment maana Trial yote ilimalizika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…