Kesi ya Masha yafutwa

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,315
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imefuta kesi ya kutumia lugha ya matusi iliyokuwa ikimkabili aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana na Waziri wa Mambo ya Ndani, Bw. Lawrence Masha.

Habari zaidi zinawajia...
 
Back
Top Bottom