Tembele JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 1,154 Reaction score 350 Sep 3, 2013 #1 Ile Kesi ya Lulu kuhusika na kifo cha Kanumba imefikia wapi? Isije ikawa imeisha mi tu ndio sina habari.
Ile Kesi ya Lulu kuhusika na kifo cha Kanumba imefikia wapi? Isije ikawa imeisha mi tu ndio sina habari.
Tembele JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 1,154 Reaction score 350 Sep 3, 2013 Thread starter #2 Hakunaa mwenye taarifa? Ina maana tupo tupo tu?
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,637 Sep 4, 2013 #3 Tangu mwanzo wadau walitoa maoni yao hapa na waliowengi walisema kesi hiyo itapita na lulu ataendelea kudunda mtaani kama kawaida. Tafuta ile thread ya kifo cha Kanumba utathibitisha hilo. Kwani hujaona/sikia uzinduzi wa muvi mpya ya lulu?
Tangu mwanzo wadau walitoa maoni yao hapa na waliowengi walisema kesi hiyo itapita na lulu ataendelea kudunda mtaani kama kawaida. Tafuta ile thread ya kifo cha Kanumba utathibitisha hilo. Kwani hujaona/sikia uzinduzi wa muvi mpya ya lulu?
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Sep 4, 2013 #4 mnapenda majanga ya wenzenu eeeeeh
A akiba Senior Member Joined Aug 13, 2013 Posts 145 Reaction score 24 Sep 5, 2013 #5 kesi kwishney,mama K mwenyewe shoga ake.
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,122 Reaction score 52,865 Sep 26, 2016 #6 judge keshakula zake
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,713 Sep 26, 2016 #7 Miss Natafuta said: judge keshakula zake Click to expand... Siyo kwamba alipewa utamuu..![emoji41] [emoji41]
Miss Natafuta said: judge keshakula zake Click to expand... Siyo kwamba alipewa utamuu..![emoji41] [emoji41]
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,391 Reaction score 24,147 Sep 26, 2016 #8 Tembele said: Ile Kesi ya Lulu kuhusika na kifo cha Kanumba imefikia wapi? Isije ikawa imeisha mi tu ndio sina habari. Click to expand... Kesi wanakuanazo wakina sheikh ponds mwenye sura ngumu lulu mrembo hawezi kuwa na kesi
Tembele said: Ile Kesi ya Lulu kuhusika na kifo cha Kanumba imefikia wapi? Isije ikawa imeisha mi tu ndio sina habari. Click to expand... Kesi wanakuanazo wakina sheikh ponds mwenye sura ngumu lulu mrembo hawezi kuwa na kesi
ENZO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,248 Reaction score 1,746 Sep 27, 2016 #9 ukishajua imefikia wapi ili ufanye nini? ............. roho mbaya tu inakusumbua.