Kesi ya Lissu ime expose uozo wa mahakama

Kesi ya Lissu ime expose uozo wa mahakama

rhoda ryoba

Member
Joined
Apr 19, 2016
Posts
88
Reaction score
168
Habari wana jukwaa! Mimi sijawahi kufuatilia kesi yoyote nchini ila nilikuwa naskia kuwa mahakama ndio chombo cha kutafsiri sheria na kutoa haki.

kupitia mwenendo wa kesi ya Lissu ambae ni mwanasheria nguli nimegundua kuwa kuna kesi nyingi watu wanaonewa sana hususani wasiojua sheria kwasababu TL ni mbobevu wa sheria pia ni kiongozi wa chama kikubwa, kesi yake inaoneshwa kwenye Tv lakini unaona kuna kitu hakipo sawa.

Moja, uwezo wa hakimu kutoa hukumu umeegemea zaidi kwa mawakili wa serikali, pili, mawakili wa serikali wanaonekana hawawezi ushindani zaidi ya kubebwa kwa kuwa wako upande dola, tatu, sheria zetu Zina mapungufu, kila siku nenda rudi hazina muda timilifu wa kumaliza kesi.

Pesa za umma zinapotea bure kwenye jitihada za kumchelewesha mshitakiwa, lengo ni kumpotezea muda asishiriki kwenye kujenga chama chake na kushiriki chaguzi, endapo mahitaji yao yatatimizwa.

Inasikitisha kuona mfungua kesi, ndiye mwendesha mashtaka na hakimu, haki hamna kabisa. Inasikitisha sana
 
1000059160.jpg
 
Habari wana jukwaa! Mimi sijawahi kufuatilia kesi yoyote nchini ila nilikuwa naskia kuwa mahakama ndio chombo cha kutafsiri sheria na kutoa haki, kupitia mwenendo wa kesi ya Lissu ambae ni mwanasheria nguli nimegundua kuwa kuna kesi nyingi watu wanaonewa sana hususani wasiojua sheria kwasababu TL ni mbobevu wa sheria pia ni kiongozi wa chama kikubwa, kesi yake inaoneshwa kwenye Tv lakini unaona kuna kitu hakipo sawa, moja, uwezo wa hakimu kutoa hukumu umeegemea zaidi kwa mawakili wa serikali, pili, mawakili wa serikali wanaonekana hawawezi ushindani zaidi ya kubebwa kwa kuwa wako upande dola, tatu, sheria zetu Zina mapungufu, kila siku nenda rudi hazina muda timilifu wa kumaliza kesi, pesa za umma zinapotea bure kwenye jitihada za kumchelewesha mshitakiwa, lengo ni kumpotezea muda asishiriki kwenye kujenga chama chake na kushiriki chaguzi, endapo mahitaji yao yatatimizwa.
Inasikitisha kuona Rais ndio mfungua kesi, mwendesha mashtaka na hakimu, haki hamna kabisa. Inasikitisha sana
Mtuhumiwa ageuka Mwalimu kiongozi,mtawala mahakamani!
 
Back
Top Bottom