Halisi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2007 Posts 2,802 Reaction score 617 Feb 22, 2011 #1 Kesi ya kikatiba imeshafunguliwa kupinga Dowans katika Mahakama Kuu Dar es Salaam, mwenye taarifa zaidi atujuze
Kesi ya kikatiba imeshafunguliwa kupinga Dowans katika Mahakama Kuu Dar es Salaam, mwenye taarifa zaidi atujuze
M Maganiko Senior Member Joined Feb 20, 2011 Posts 131 Reaction score 61 Feb 22, 2011 #2 Dowans! Kila Mtawala katika historia ameangushwa na tukio moja au series ya matukio madogo (Ben Ali, Mubarak, Marcos, Napoleon, Mobutu, Bokassa, etc). Historia itatuambia kuhusu JK na Dowans hii.
Dowans! Kila Mtawala katika historia ameangushwa na tukio moja au series ya matukio madogo (Ben Ali, Mubarak, Marcos, Napoleon, Mobutu, Bokassa, etc). Historia itatuambia kuhusu JK na Dowans hii.
Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 34,274 Reaction score 44,756 Feb 22, 2011 #3 sisi hatukutaka toka mwanzo kuwazuia hawa watu; hatutaki hata hivi sasa kuwazuia, tuwaache tu watugandamize hadi tutakaposema "tunaumia"
sisi hatukutaka toka mwanzo kuwazuia hawa watu; hatutaki hata hivi sasa kuwazuia, tuwaache tu watugandamize hadi tutakaposema "tunaumia"
Gurudumu JF-Expert Member Joined Feb 5, 2008 Posts 2,349 Reaction score 265 Feb 22, 2011 #4 Hebu eleza vizuri mkuu unamaanisha nini kesi ya katiba dhidi ya dowans