Naamini CHADEMA wako makini zaidi ya ccm wanavyofikiria, hivyo kama James Milya katumwa atakimbilia NCCR muda si mrefu kabla hajaumbuka. niachoamini mimi dogo kasoma alama za nyakati, UkWELI si Milya pekee nusu ya wabunge wa CCM wanatamani kuhamia CDM tatizo watatokaje ili hali hawajiamini na wengine wameupata ubunge kwa wizi wa kula-je hawataumbuliwa?