Kesi ya jack cliff, wabongo wasusia

Huwa napata kichfuchefu kuona mipaja iliyokunjamana vibaya hivyo au rangi za buluu na nyekundu za kujichubua .Samahani kusema binadamu wanatia kinyaa wakiamua kujiweka vibaya.Kwanini asingevaa hata suruali ndefu.
Kama unapata kichefuchefu pima mkojo unaweza kuwa na ujauzito mchanga.
 
We mlevi ulikua wapi. Kitambo sjakuona au ulifichwa na yule mbaba wa kipare
Mwenyewe anasema anasikia kichechefu mtoto wa kiume huyo unategemea nini.
 
Kwa waandishi wa Shigongo usikute hii ilikuwa oparesheni ya kukamata wanawake wanaojiuza halafu sisi tunapigwa fix wakati mavazi tu ya huyo mwanamke inaonekana alikuwa anauza K.
 
Aiseee acha pesa iitwe pesa yani mtu yupo radhi kuweka maisha yake rehani kisa pesa duuh?
 
hii naona EMT hakuinasa hii!kua mbongo noma cku hz.

Kwa waandishi wa Shigongo usikute hii ilikuwa oparesheni ya kukamata wanawake wanaojiuza halafu sisi tunapigwa fix wakati mavazi tu ya huyo mwanamke inaonekana alikuwa anauza K.

Mkuu hiyo habari niliisoma lakini sikuitilia maanani kwa sababu sina uhakika kama ni ya kweli.

Kama alivyosema Matola kuna habari kuhusu operesheni ya kukamata machangu huko.

Pia zipo habari za wanawake wa Kitanzania wanaodaiwa ni machangu walikamatwa wakitwangana.

Mie nilitumiwa video clip ya wadada hao wakitwangana live barabarani huko na polisi wakaka kuwakamata.
 
Habari za Udaku bana,Wanasema mnyetishaji sasa sijui alikuwa Mchina?
Maana ukirejea anasema hakukuwepo na ndg wala Mtu mweusi,Bali sura za kichna tu.
 
Kama unapata kichefuchefu pima mkojo unaweza kuwa na ujauzito mchanga.
Aha..na mama yako akapime nini?Kwani umeambiwa kila anayetapika ni wa kupima mkojo.Wanaopata Malaria nao wangepima mkojo na si Damu, walio ktk boat nao wangapima mkojo kabla ya kupanda.Mizaha ya kiswahili inawa reflect ufupi wa akili zao.Ndio maana mna vimisemo vy akipuuzi sijui akiji ni nywele, sijui mgaa gaa na pwani....uvivu kuanzia ktk akili hadi a maisha.Ndio maana hata ktk ngono mnayoifikia huwa mnazimishwa na wanawake.Si ndio unaobebwa na wanawake kuogeshwa..wengine kwa wanawake wanabebwa.Unagaa na pwani badala ya kuingia ktk maji..Ndio maana waswahili unaweza kwenda kazini unawaacha kibarazani,unarudi unafua na mengine wanakuangalia, halfu wanakuomba hela baadae.Mtaliwa bure kima nyie.
 
Aiseee acha pesa iitwe pesa yani mtu yupo radhi kuweka maisha yake rehani kisa pesa duuh?
Haha..hawa jamaa si fedha.Ni kondoo wa kafara.Anayejua Hela huwa anajua kupima risk na success rate,huku akijua kuwa 100 atafanikiwa mission.Km sivyo huwa wanaojua hela wanajua haitoshi hiyo hela.Hawa makenge sidhani km wanajua hilo.
 
Habari za Udaku bana,Wanasema mnyetishaji sasa sijui alikuwa Mchina? Maana ukirejea anasema hakukuwepo na ndg wala Mtu mweusi,Bali sura za kichna tu.
Haha..umeangalia kitu nzuri ya kuwakumbusha waandishi wa kibongo kuwa ktk mbwembwe zao basi wapime kila kitu kwa akili halisi.Hat akatuni wenyewe wanauhasilia sana.Katuna utakuta wanafauata principal za physics, na jamii sana na maadili,uandishi km zinapinda basi,hupindisha ili kufurahisha.huyu mwandishi ilibidi aweke source ya habari ,ili kuleta uhasilia aipataje na aliyeandika ni nani hadi ajieleze km si wa ukanda huu.Otherwise aiweke sawa kuwa mtu ambaye hakuwepo mwingine kushihudia zaidi ya kundi la waandishi.
 



 
Mleta mada you are just plsin crazy!!!
Wewe na msafirishaji madawa walitegemea nini toka kwa waChina, a red carpet and a welcoming committee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…