surubu kwetu Member Joined May 13, 2014 Posts 59 Reaction score 12 Nov 10, 2014 #1 Ndugu zangu naomba kujuzwa kesi ya dowans kwa yoyote anayeijua imefikia wapi au tumekwisha walipa maana swala la dowans limekuwa kimya uwenda wamekwisha wapa rushwa wabunge ili walizime tujuzane ndugu kwa mwenye taarifa
Ndugu zangu naomba kujuzwa kesi ya dowans kwa yoyote anayeijua imefikia wapi au tumekwisha walipa maana swala la dowans limekuwa kimya uwenda wamekwisha wapa rushwa wabunge ili walizime tujuzane ndugu kwa mwenye taarifa
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Nov 10, 2014 #2 Usidhangae njii hii INA maajabu ya Kila aina