Wadau huko tulishatoka zamani, tunasubili law school, na kwa mdau aliyeshauri kuhusu law of negligence i concur with you, japo hatujapishana maana naongelea tort of negligence, hivyo hata nikichukua kitabu cha tort... siwezi kosa negligence na hii case mama kwenye tort ya aina hiyo ndio inajieleza tu.
Ila naona kuna watu wananimislead, wengine wakisema nikafanye kwanza assignment, for sure mimi sio mwanafunzi ila tu nimeweka hapa tupeane idea tofauti kulingana na uelewa tofauti tu na si kivingine wadau.
Ila sio mbaya, mwenye idea anaweza changia na kubadilishana mawazo pia, na mi pia ninayo zaidi.
Thanks JF members, nawapenda.
cc: @wadau wote