Kesi ya Donoghue V. Stevenson na uhalisia wake

Langu

Member
Nov 20, 2011
37
9
Habari wana JF,

Kuna hii kesi iliyotajwa hapo juu, inayohusiana na sheria ya madhara yanayowezakusababishwa na wazalishaji kama viwanda dhidi ya wateja wao.

Mwenye uelewa zaidi wa hii kesi anaweza akatuadithia na kuangalia maamuzi yake ilivyoamliwa,

Na pia kama kuna kesi za dizaini hii hapa Tanzania zishawahi amuliwa.

Siku njema wapendwa katika bwana.
 
Nahisi hii ni Individual assignment!

Ukishai-submit, njoo tukupatie maelezo!

No sio assignment, na ingekuwa assignment no need kuileta hapa, instead ningegoogle na vitabu pia vya Law of tort ni vingi kupatia references.Tuna ujuzi ila kila mtu anaelewa tofauti mkuu so your contribution over this itasaidia kwangu na kwa wengi pia. Thanks
 
Habari wana JF,

Kuna hii kesi iliyotajwa hapo juu, inayohusiana na sheria ya madhara yanayowezakusababishwa na wazalishaji kama viwanda dhidi ya wateja wao.

Mwenye uelewa zaidi wa hii kesi anaweza akatuadithia na kuangalia maamuzi yake ilivyoamliwa,

Na pia kama kuna kesi za dizaini hii hapa Tanzania zishawahi amuliwa.

Siku njema wapendwa katika bwana.

Acha uvivu wewe dogo nenda Library ukafanye research wewe....
 
Hii kitu imekuwa separated dogo na Law of Torts inajitegemea kama Law of Negligence.

Nenda Library kunja vyema Mgongo utatoka umewiva.
:D:D
 
Wadau huko tulishatoka zamani, tunasubili law school, na kwa mdau aliyeshauri kuhusu law of negligence i concur with you, japo hatujapishana maana naongelea tort of negligence, hivyo hata nikichukua kitabu cha tort... siwezi kosa negligence na hii case mama kwenye tort ya aina hiyo ndio inajieleza tu.

Ila naona kuna watu wananimislead, wengine wakisema nikafanye kwanza assignment, for sure mimi sio mwanafunzi ila tu nimeweka hapa tupeane idea tofauti kulingana na uelewa tofauti tu na si kivingine wadau.

Ila sio mbaya, mwenye idea anaweza changia na kubadilishana mawazo pia, na mi pia ninayo zaidi.

Thanks JF members, nawapenda.




cc: @wadau wote
 
danganya toto hyo, a serious undergraduate student in law, should know this famaous case, ngoja leo niwe mchoyo kdgo wa kutoa idea, heee uvivu huu utaniua bure
 
Ni kesi nzuri! Jamaa alikuta uchafu (aina ya mdudu) ndani ya chupa ya kinywaji alichokuwa anakunywa, kwa kipindi ile palikuwa hakuna sheria wala precedent! Kwa tukio kama hilo, lkn jamaa kaenda kushtaki! Ndipo jopo la wanasheria walikaa na kuamua kufungua PANDORA BOX ili waweze kudeal na mambo kama hayo! Nimesoma zamani kidogo lkn hivyo ndivyo kwa ufupi sana! Naamini vijana waliopo vyuoni sasa! Watatujuza na mambo mengine current

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom