utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,846
- 2,512
Hilo la pili nahitaj nalo kujibiwa tafadhaliWatanzania wameridhika na mfumo wa maisha yao. Wakilalamika siku 2 tatu wanatulia maisha yanaendelea.
Nani na nani walikuwa na ugomvi ?Hilo la pili nahitaj nalo kujibiwa tafadhali
asante ungejib na swali fikilishi namba mbili hapo juuKama bado ajatumbuliwa hadi sasa jua tu kiti chake still kinamsubiria upepo upite kwanza.
Aisee huyu bado hajatumbuliwa tuSamahanini,
Nahitaji kujua yule mkurugenzi sijui mtoto wa Dada yu wapi kwa sasa?
Na ile kesi yake ya mauaji inaendeleaje?iliishia wapi?
Asante!
Atumbuliwe na nani??hivi mpaka leo kuna watu bado mnawaaminiAisee huyu bado hajatumbuliwa tu
Aliyeuwa na askari wa Wanyama pori. DED alikuwa nje.Samahanini,
Nahitaji kujua yule mkurugenzi sijui mtoto wa Dada yu wapi kwa sasa?
Na ile kesi yake ya mauaji inaendeleaje?iliishia wapi?
Asante!
Sawa.kachukue malipo yako sasa!Police wamefanya uchunguzi wameona kwamba hausiki na mauaji,wewe ni nani hadi umnyooshe kidole ni mtoto wa dada yako?.