Taarifa kutoka Mahakamani zinaeleza kwamba , miongoni mwa mashahidi Muhimu kwenye kesi iliyofunguliwa na Mamluki Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya CHADEMA , watakaohojiwa na Mawakili wa Utetezi , yumo Spika aliyefurushwa madarakani , Job Ndugai na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Dr Mahera .
Chanzo : Raia Mwema .
Endelea kufuatilia hapahapa JF kwa taarifa zaidi .