DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 268
Nilinunua simu ya startimes ya 129000. Zile simu zina tatizo la kujitoa memory card ikiwa simu ipo on. Uzuri wenyewe wanajua maana nilipoirejesha walijua tatizo na wakaomba niiache.
Tatizo langu kubwa ni kwamba, baada ya kwenda kuichukua na kuniambia ipo tayari walikua wamedelete kila kitu na ile memory kurudi upya ikiwa ni pamoja na kufuta mafile yangu muhimu. Je, nina haki ya kuwashitaki?
Nisaidieni wakuu katika hili.