Kesho yaweza kua ni " CHADEMA"

Kesho yaweza kua ni " CHADEMA"

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,054
Reaction score
3,263
Ukweli ni kwamba atamkalo mtu ndilo lilipo moyoni.
Nilisikia leo Waziri Mkuu wa nchi ,akisema kua ,"kesho yaweza kua ni Chadema "kuingoza nchi .

Kwaninj hakusema ,kesho yaweza kua ni " CUF" au "NCCR' au " UKAWA" .

Je ina maana kwamba "CHADEMA " Ndio chama chenye mwelekeo wa kusbika nchi siku zijazo ,au "UKAWA" ni "CHADEMA " Na Hakuna cha CUF wala NCCR..? au
Ni kwann kauli hiyo ya kushila Dola ilidondoka moja kwa moja kwa CHADEMA bila kutaja anagalau chama kingine kimoja cha Upinzani ?
 
hata mimi nilimsikia mkuu ila sikuona sababu ya kuanzisha uzi, naona ulimi uliteleza ila kweli itabaki kuwa kweli tu,.
 
Kwa uongozi uliopo itakuwaw ni ndoto. Hakuna hata anayeweza kuongoza Kijiji cha watu wenye akili timamu
 
hata mimi nilimsikia mkuu ila sikuona sababu ya kuanzisha uzi, naona ulimi uliteleza ila kweli itabaki kuwa kweli tu,.

Afadali ulishuhudia kamanda ,kauli ka hiyo yaweza kuchukuliwa ni ndogo akitamka mtu mwngine ,lakini ni kubwa na ina maana akiitamka Waziri wa nchi. !
Tafsiri ni kubwa juu ya hili,kuliko unavyodhani . ...
 
ndo chama pekee ambaho kimeonyesha nia ya kushika dola
 
Tusiwe na tabia za kike kuguswa kwa ulimi wa shingo na kuanza kulegea hata kusahau madhara ya dhakari. Akili za kike twende kiumeni.
 
labda dola ya kule karatu au hai. lakini kama ni ya nchi hii sahau kabisa. ndo maana tumewaonesha mfano kule kalenga na chalinze kuwa sisi sio mafa.la kiasi hicho mpaka tuipe nchi hii saccos kutoka tengeru.

Back
Top Bottom