King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,380 Reaction score 99,178 Nov 19, 2018 #41 From Sir With Love said: Yap kesho ni maulid. Leo naona kuna mkesha. Click to expand... Sawa shukrani sana kwa ufafanuzi nikajua leo ndio imesomwa kwahiyo sikukuu ni leo na sio kesho.
From Sir With Love said: Yap kesho ni maulid. Leo naona kuna mkesha. Click to expand... Sawa shukrani sana kwa ufafanuzi nikajua leo ndio imesomwa kwahiyo sikukuu ni leo na sio kesho.
BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,249 Nov 19, 2018 #42 From Sir With Love said: Yap kesho ni maulid. Leo naona kuna mkesha. Click to expand... Mkuu unajua huu uzi ni wa mwaka gani? Au we ni braza k wa futuhi?
From Sir With Love said: Yap kesho ni maulid. Leo naona kuna mkesha. Click to expand... Mkuu unajua huu uzi ni wa mwaka gani? Au we ni braza k wa futuhi?
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 4,021 Reaction score 9,575 Nov 19, 2018 #43 BRO SANTANA said: Mkuu unajua huu uzi ni wa mwaka gani? Au we ni braza k wa futuhi? Click to expand... kafukua kaburi
BRO SANTANA said: Mkuu unajua huu uzi ni wa mwaka gani? Au we ni braza k wa futuhi? Click to expand... kafukua kaburi
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,380 Reaction score 99,178 Nov 19, 2018 #44 BRO SANTANA said: Mkuu unajua huu uzi ni wa mwaka gani? Au we ni braza k wa futuhi? Click to expand... Uzi wa 2011 ila swali la 2018 na ni valid ambalo linauliza kama kesho ni sikukuu ya maulidi?
BRO SANTANA said: Mkuu unajua huu uzi ni wa mwaka gani? Au we ni braza k wa futuhi? Click to expand... Uzi wa 2011 ila swali la 2018 na ni valid ambalo linauliza kama kesho ni sikukuu ya maulidi?
From Sir With Love JF-Expert Member Joined Sep 13, 2010 Posts 2,072 Reaction score 3,827 Nov 19, 2018 #45 BRO SANTANA said: Mkuu unajua huu uzi ni wa mwaka gani? Au we ni braza k wa futuhi? Click to expand... Bro, soma vizuri post za Leo tangu mwanzo ndiyo utanielewa.
BRO SANTANA said: Mkuu unajua huu uzi ni wa mwaka gani? Au we ni braza k wa futuhi? Click to expand... Bro, soma vizuri post za Leo tangu mwanzo ndiyo utanielewa.
BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,249 Nov 19, 2018 #46 King Kong III said: Uzi wa 2011 hila swali la 2018 na ni valid ambalo linauliza kama kesho ni sikukuu ya maulidi? Click to expand... Naam kesho ni maulid mkuu 2018
King Kong III said: Uzi wa 2011 hila swali la 2018 na ni valid ambalo linauliza kama kesho ni sikukuu ya maulidi? Click to expand... Naam kesho ni maulid mkuu 2018