Kesho uchaguzi rasmi wa RT Mwanza

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
431
Reaction score
433
Shirikisho la riadha Tanzania -RT kesho linatarajia kufanya uchaguzi wao mkuu wa viongozi mbalimbali, ikiwemo rais na makamu wake; nafasi ya uwakilishi wanawake na nafasi ya ujumbe kwenye kamati ya utendaji.

Nafasi ya katibu hakuna kwenya uchaguzi huu , bali itakuwa ni ya kuajiriwa; watu watatuma vyeti vyao ili wachaguliwe;

Uchaguzi huo utafanyika jijini Mwanza tarehe 16 agosti 2025.

Tusubiri tuone mtanange huo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…