Head teacher JF-Expert Member Joined Mar 10, 2012 Posts 1,796 Reaction score 413 Jun 8, 2012 #1 Je watarusha matangazo ya nyinyiem, au hawatarusha. Ikumbukwe tbc ni tv ya taifa, kwa hiyo maamuzi ya kurusha ccm kutoka cdm-sqr yataacha maswali kwa nini hawakurusha ya cdm.
Je watarusha matangazo ya nyinyiem, au hawatarusha. Ikumbukwe tbc ni tv ya taifa, kwa hiyo maamuzi ya kurusha ccm kutoka cdm-sqr yataacha maswali kwa nini hawakurusha ya cdm.
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,590 Reaction score 28,761 Jun 8, 2012 #2 wasirushe kiwanukie?? lazima warushe kutetea kakitumbua kao kasiingie mchanga... si unajua tena baba mwenyekiti yule handsome wa pale magogoni ndo kashika mpini banaa
wasirushe kiwanukie?? lazima warushe kutetea kakitumbua kao kasiingie mchanga... si unajua tena baba mwenyekiti yule handsome wa pale magogoni ndo kashika mpini banaa