NG'HOMELE JF-Expert Member Joined Jan 13, 2014 Posts 470 Reaction score 147 Jun 13, 2014 #1 Tukumbuke kuwa nafasi ni 6 lakn tulioitwa ni 1300 mungu awe nasi sote
S svoca JF-Expert Member Joined Jun 6, 2014 Posts 373 Reaction score 70 Jun 13, 2014 #2 Ni kweli hata mm nitakuwepo bhana twende tukachuane tu na Mungu atatusaidia kwa wakati wake wahenga walisema"jaribu ushndwe usishndwe kujaribu"
Ni kweli hata mm nitakuwepo bhana twende tukachuane tu na Mungu atatusaidia kwa wakati wake wahenga walisema"jaribu ushndwe usishndwe kujaribu"
jacobian JF-Expert Member Joined Feb 3, 2014 Posts 417 Reaction score 158 Jun 13, 2014 #3 :baby::baby:
Chibolo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 5,768 Reaction score 8,044 Jun 13, 2014 #4 kwani maafisatarafa wanafanya kazi gani?
MinMash JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 373 Reaction score 161 Jun 13, 2014 #5 Ratio ya uhamiaji 154:1 ratio ya K/tarafa 230:1 ndo tumefikia hapo
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Jun 13, 2014 #6 bora hata uhamiaji, ni ratio nafasi 1 kwa 154, huku nafasi 1 kwa 216
S svoca JF-Expert Member Joined Jun 6, 2014 Posts 373 Reaction score 70 Jun 13, 2014 #7 mh.jamani tumelingana mawazo,me mwenyewe nilitaka nichangie h wastan mmeniwah uhamiaji afisa tarafa hakika ni wale wale kasoro majina,tena bora ya uhamiaji kwa ratio hiyo.
mh.jamani tumelingana mawazo,me mwenyewe nilitaka nichangie h wastan mmeniwah uhamiaji afisa tarafa hakika ni wale wale kasoro majina,tena bora ya uhamiaji kwa ratio hiyo.
V vick28 Senior Member Joined Jul 26, 2013 Posts 105 Reaction score 11 Jun 13, 2014 #8 NG'HOMELE said: Tukumbuke kuwa nafasi ni 6 lakn tulioitwa ni 1300 mungu awe nasi sote Click to expand... Serious duh sasa ukosefu wa ajira ni social problem.
NG'HOMELE said: Tukumbuke kuwa nafasi ni 6 lakn tulioitwa ni 1300 mungu awe nasi sote Click to expand... Serious duh sasa ukosefu wa ajira ni social problem.
K Kilamba Mawe Member Joined Mar 6, 2014 Posts 35 Reaction score 7 Jun 16, 2014 #9 vick28 said: Serious duh sasa ukosefu wa ajira ni social problem. Click to expand... it's a social issue!
vick28 said: Serious duh sasa ukosefu wa ajira ni social problem. Click to expand... it's a social issue!
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,214 Jun 16, 2014 #10 ukosefu wa ajira kweli ni tatizo kama ratio ziko namna hiyo.