Kesho tar 22 sept Dr Magufuli ndani ya Ngara

Kesho tar 22 sept Dr Magufuli ndani ya Ngara

AKAHUMULA

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
26
Reaction score
6
Kesho siku ya jumanne tar 22 sept dr magafuli, mgombea urais kupitia cha mapinduzi ccm atafika wilayan ngara kuomba ridhaa kwa wanangara il wamchangue kuwa rais wa tanzania, mkutano wa hadhara utafanyika ktk viwanja vya old posta, mkutano wa hadhara wa hadhara utatanguliwa na mkatano wa ndan ambao ataongea na wazee wa ngara lengo ni kuweka mambo sawa ili ushindi upatikane.
 
hapa kazi tu, mgombea wa ubunge jimbo la ngara Alex Gashaza atajichukulia jimbo mapema sana kwa sababu mpinzan wake dr bujari hana mvuto kwa watu.
 
Safi sana jamaa anapeta kuharisha UKAWA, MAGUFULI KAZITU
 
Back
Top Bottom