kesho ni kesho,asiye na mwana.........

Status
Not open for further replies.

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,063
aeleke jiwe.
Pyeeeeeeeeee kipenga premier league England kinalia,ndo kipindi sawia chetu kinababa kuganda kwenye luninga,iwe bar iwe nyumbani.Katika hili kinamama tulieni msitubughudhi na tukichelewa msituulize,jueni tulikuwa tunaangalia mpira.Swali la nyongeza?
 
Watu pipooooo!! na hivi mashetani tumemchukua RVP, gunners kwisha kazi!! nitakuwa bega kwa bega na mchuchu kwenye EPL maana wote tunapenda soccer...tatizo kubwa tupo timu tofauti!! Akiwa na washkaji siku nyingine ni byee tu, VIZA anapata 24hours bila kumsumbua.

Halafu nahisi wewe kama Arsenal, khe khe
 
mwanga wewe,umejuaje bilionea bishanga ni asenale?
 
aaaaaah....visingizio tele ndo vitaanza..kitu kdg tu 'nilikuwa savannah naangalia mpira'
 
na wakati wa watu kuibiwa wake zao huku wako bize kushangilia mpira bar
umerudi tena lol
kuna wanawake ukiwatafuta wanakwambia subiri kesho ataenda kutazama mpira lol
 
we nae una lako jambo,wake zetu ni waaminifu bana.
 
aeleke jiwe.
Pyeeeeeeeeee kipenga premier league England kinalia,ndo kipindi sawia chetu kinababa kuganda kwenye luninga,iwe bar iwe nyumbani.Katika hili kinamama tulieni msitubughudhi na tukichelewa msituulize,jueni tulikuwa tunaangalia mpira.Swali la nyongeza?
Kweli Bishanga wewe ni adict, kinara na nguli wa MMU.
Sasa hii sredi
yako inahusiana vipi na MMU?
 
Wazee wa chelsea wera weraaa, sisi mdogo mdogo mwisho wa siku tunabeba makombe makubwa bila zengwe,

Mchuchu inabidi ajiandae tu na tena anakaribia kumleta obama dunian raha sana obama akija na chelsea tumetetea uefa bila zengwe wazee wa kupaki treni weraaaaa
 
Hapa TORESS(The golden boot) nyuma HAZARD pale OSCAR kule MATA ...... dah!jamani raha!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom