Kesho naitupa line ya Halotel rasmi

Kesho naitupa line ya Halotel rasmi

Lofawamali

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2014
Posts
304
Reaction score
146
Habari zenu keaho nimeamua mwenyewe kuachana na Halotel nahamia zangu Ttcl rasmi.

Nimejaribu kuwavumilia haka kamchezo kao ka kupoteza dira kwenye suala la internet coverage, Lakini yamenishinda kwa kweli.

Kwa nini hata hawatujali wateja wake?? Costumer care kuwapata shida.Hata ukipatwa na dharura wewe mezea mate tu mana si rahisi kuwapata.

Shaabashhhhh !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi mimi niliwachagua kwa sababu hapa nilipo kuna shida ya net, na wao tu ndio walikua wanashika net bila shida ila sasa naona kazi imewashinda maana kila nikiweka bando linaliwa utazani simu inavuja!!

Nimeamua kuwapa likizo...

Nahisi ile issue ya faini waliyopigwa ndio wanaiamishia kwetu!!

HALOTEL VAS acheN UJAMBAZI PUMBAFU!

Cc Heriamini Makyao
 
Habari zenu keaho nimeamua mwenyewe kuachana na Halotel nahamia zangu Ttcl rasmi.

Nimejaribu kuwavumilia haka kamchezo kao ka kupoteza dira kwenye suala la internet coverage, Lakini yamenishinda kwa kweli.

Kwa nini hata hawatujali wateja wake?? Costumer care kuwapata shida.Hata ukipatwa na dharura wewe mezea mate tu mana si rahisi kuwapata.

Shaabashhhhh !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwenye page yao ya fb watumie huu ujumbe na wewe wenda wakakusikia
 
daaaah kumbe hili ttz sio mm niko nalo tu

me naamini ni miongoni mwa wateja wa kwanza wa halotel ila kwa kipindi hiki wanazingua sana

customer care hawapatikani kama unavyosema mkuu

internet yao imekuwa too slow kwa siku za karibuni ni majanga tele

soon na mm ntakuunga mkono na mkuu ata na kidari pia kuwapiga chini
 
Niliwai leta malalamiko huku nikaambiwa na waonea wivu, mie hao wavetnam bora warudi kwao kucheza movie za rambo tu line yao nimempa mangi awe anakwangulia vocha dukani

driller⛏⚒
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom