Kesho Mahakama itaanza kusikiliza sababu za Lissu kutaka, kuunganishwa kwenye kesi mgawanyo wa mali za CHADEMA

Kesho Mahakama itaanza kusikiliza sababu za Lissu kutaka, kuunganishwa kwenye kesi mgawanyo wa mali za CHADEMA

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Mahakama kesho inatarajiwa kuanza kusikiliza hoja za Tundu Lissu kuhusu ombi lake la kuunganishwa katika kesi inayohusu mgawanyo wa mali za chama cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Soma Pia: Mapingamizi dhidi ya Tundu Lissu kuunganishwa katika Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA yatupiliwa mbali na Mahakama Kuu

Screenshot 2026-03-05 201111.png
 
Back
Top Bottom