Yaani inakaribia mwezi wa pili huu naomba Passport uhamiaji wananizungusha kama sio mtanzania, inauma kwa kweli, kila unapoenda wanaagiza ulete document mpya nå kila siku wanataka urekebishe kitu hivyo nimeamua kuja hapa jamvini kujua kama hii ni kawaida au la