poleni na majukumu!!
kiukweli hizi camera zenye video record xinazopachikwa kwenye vishkizo au hata ndani kwako na kisha kudukua vitu bila ya wewe kujijua na mhusika alietega anakuha kujionea mengi mno.
yaani sijui nielezeje zinakera, zinaboa, zinauzi mno. na naiomba mamlaka husika ijaribu kulitatua hili swala ikiwezekana hizi camera zimilikiwe na watu maalumu hususan wana usalama na sio kiholela.
iko hivi ni wiki tulipata mgeni sasa kumbe kabla hajarudi kwaoalitegesha video ilikuwa kwenye kochi masikini weee pitapita huku tukiwa utupu wa mwili wengine katika harakati za kuoga kumbe kitu kinarekodi tu siku iliyofuata alietegesha akaja akakichukua amefika kwake akantumia video eti tuwage saaingine tunafanya usafi wa makochi kila mara.
jamani imeniboa mnooo. uzuri tu ni dada yangu sasa napata picha angekuwa mtu baki je???
vitu vingine ni hasara tu.