Huku upande wa Mwenge hadi Tegeta kumekuwa na zoezi la kukata umeme, naomba TANESCO waweke wazi kama ni mgao, maana kila Jumatatu, Jumatano,Ijumaa wanakataa umeme, sasa kama ni mgao si watangaze tu kuliko kukata na kurudisha umeme.
Ni hitilafu ambazo zinatokea katika miundombinu ya Tanesco kwa kipindi hichi ambacho Shirika linafanya ukarabati ambao utapelekea kupatikana kwa umeme wa uhakika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.