Kero ya Ukamataji magari Arusha

Kero ya Ukamataji magari Arusha

Donkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,499
Reaction score
1,585
Kuna usubumbufu mkubwa unaotokana na ufungaji na ukamataji wa magri hovyo jijini Arusha, wanakwambia twende ofisi ukaonane na wakubwa wakusamehe, kumbe ni kupeleka gari kifungoni, faini shilingi elfu sitini,Mkuu wa mkoa na mbunge wa arusha naomba tuondoleeni wizi huu
 
Washenzi wa tabia kweli wale vijana na wengi wananyanyua nyanyua vyuma basi na hayo manyama uzembe wao wanajihisi kila mtu anawaogopa....Niliwatolea uvivu siku moja maeneo ya Stanley Bar nimepark gar faster nikaingia kwenye duka la jiran yaan kama 3 minutes kutoka nkakuta ndo wanavalisha hiyo michum yao....Nkawai kwenye gar kabla hawafunga vizur ilikuwa nawakanyage wote...pumbavu wakawa wameshafunga tair ikazungusha ule mchuma wao ikaisha upepo...sikuongea nao nkashuka kwenye gar nikaelekea hardware ya karibu nkanunua panga na nyundo, ile narud wakawasha gar lao wakaelekea kwa wale maaskar wa CRDB nilivyokuwa na hasira niliweka panda chin ya kale kakuful chao nkapiga nyundo moja tu, kakaruka kule nkatoa ule mchuma wao nkautupia kwenye gar....nkatoa tyre ya spare nkabadilsha taratiiib sina hata haraka ila kwa hasira nilyokuwa nayo ningeua yeyote ambaye angenisogelea...Nikabadilisha tyre huyo....Nilikuwa naelekea Moshi nkaenda nikaliacha lichuma lao huko...hakuna aliesubutu kunifuatilia....So sometym komaa nao wapuuz sana.
 
alafu kitu cha ajabu, ili uthibitishe kuwa ule ni wizi eti watu maarufu au matajiri wa mji huu hawakamatwi na hawa jamaa ata wakipaki magari yao wrong au wakikanyaga mstari kwenye parking,
 
Washenzi wa tabia kweli wale vijana na wengi wananyanyua nyanyua vyuma basi na hayo manyama uzembe wao wanajihisi kila mtu anawaogopa....Niliwatolea uvivu siku moja maeneo ya Stanley Bar nimepark gar faster nikaingia kwenye duka la jiran yaan kama 3 minutes kutoka nkakuta ndo wanavalisha hiyo michum yao....Nkawai kwenye gar kabla hawafunga vizur ilikuwa nawakanyage wote...pumbavu wakawa wameshafunga tair ikazungusha ule mchuma wao ikaisha upepo...sikuongea nao nkashuka kwenye gar nikaelekea hardware ya karibu nkanunua panga na nyundo, ile narud wakawasha gar lao wakaelekea kwa wale maaskar wa CRDB nilivyokuwa na hasira niliweka panda chin ya kale kakuful chao nkapiga nyundo moja tu, kakaruka kule nkatoa ule mchuma wao nkautupia kwenye gar....nkatoa tyre ya spare nkabadilsha taratiiib sina hata haraka ila kwa hasira nilyokuwa nayo ningeua yeyote ambaye angenisogelea...Nikabadilisha tyre huyo....Nilikuwa naelekea Moshi nkaenda nikaliacha lichuma lao huko...hakuna aliesubutu kunifuatilia....So sometym komaa nao wapuuz sana.

Mimi siku zote huwa sitaki tatizo kama hili litatuliwe kwa kutegemea nguvu ya mtu mmoja mmoja kama ulivyofanya kwani halitaisha. Inatakiwa wakazi wa Arusha waungane na kutafuta njia ya kulitokomeza moja kwa moja ili mwingine lisimtokee tena. Kutatua tatizo kama ulivyofanya wewe ni kurudi kule kule kwa wale nyumbu wa Manyara wanavyotatua tatizo lao kongwe la kuliwa na simba. Ukimuuliza nyumbu dume mwenye miguvu atakuhadithia hivyo hivyo ulivyofanya... ''mimi siku moja walinikamata simba watatu nikawapiga mateke na kukimbia huku nawaachia vumbi. Na wewe next time komaa''. Ukweli ni kwamba wangekuwa na busara ya kuungane wangewashinda simba kabisa! Tafakari!
 
Back
Top Bottom