eeeeeh!shoga angu upo na taji lako uaringaje sasa ivi unakumbuka ulivyolipata pata?
Usijali madame wangu.
BTW Nakumiss tu
Habari zenyu binafsi wanaCC
Jamani hii ndoto imekuwa kero kwangu, last week niliotanimekamatwa na vibaka wakanipiga risasi mikononi mpaka damu zikawa zinavuja kwawingi ila sikufa, jana tena nikaota nakimbizwa na wanyarwanda wakawa wanalipuamabomu lakini hayakunipata. Isiposhe na my mummy naye aliota ndoto kama hiyolast week, kuwa anakimbizwa na risasi..
Sijui ni mapepo gani haya yanayoniandama kuhusiana na risasina mabomu!!!!!
Nimefadhaika sana!!!!!!!
akili yako inafikiri uko Mtwara!!!!🙂
aaameeeen!!!Asante sis... Nazivunja kwa Jina la Yesu!
yeah some dreams are scary,like those one
muombe tu mungu ayaepushia hayo
kemea tena kemea sana kwa Jina la Yesu