CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 May 30, 2018 #1 Hamjamboje wanajamvi Wahusika tunaomba msaada wa matengenezo ya barabara ya Azikiwe eneo la mbele ya Bank ya NMB Maktaba House. Kile kipande kimekuwa kero kwa sisi wapitaji... Sijui wahusika hawalioni hili??? Ujumbe uwafikie khaaa.... Wasalaam CL
Hamjamboje wanajamvi Wahusika tunaomba msaada wa matengenezo ya barabara ya Azikiwe eneo la mbele ya Bank ya NMB Maktaba House. Kile kipande kimekuwa kero kwa sisi wapitaji... Sijui wahusika hawalioni hili??? Ujumbe uwafikie khaaa.... Wasalaam CL