KERO: Vodacom gawio kwa hisa 2018 haliendi sawa na dividend policy, kwanini mnawaibia watanzania

Thanks,sasa imepatikana japo hiyo 17% utaacha kuwagawia watu? Mi naona kama kuna haja ya kwenda kusoma repoti nzima..anyway labda mchezo unaweza kuwa umetokea
Kabla ya kuandika nimesoma ripoti ndio maana nimekokotoa na kuoa inapaswa kuwa wala 38TZS, annual report iko mtandaoni pakua
 
Which ndoto sasa Mkuu, Yaani hamwezi hata kuhoji tunaogopa hata suala la hesabu za faida na hasara, 50% or more
Sasa huoni tu kuwa mmeshapigwa, na mtaendelea kupigwa hivyo hivyo,,ukijitazama una impact gani voda ya kufanya waache kuwadhulumu hata kama mna haki! Mbona wabongo mnapendaga sana kuwa shamba darasa katika kila ishu!
 
Nauza hisa 1000 za Voda kwa 600 kila hisa kama unahitaji nione
Hapo unalamba 17000,bado kodi,bado haujakatwa m pesa unavyoenda kutoa kasalio kalikobaki.Matajiri ndio muda wao wa kununua hisa kwani wenye hisa ndogo wengi watatoka nduki.
 
Hapo unalamba 17000,bado kodi,bado haujakatwa m pesa unavyoenda kutoa kasalio kalikobaki.Matajiri ndio muda wao wa kununua hisa kwani wenye hisa ndogo wengi watatoka nduki.
Hapo angalau nipate Laki sita ya mafuta sijali hasara
 
Nilishangaa mimi ni mdau mkubwa wa vodacom ,eti nimepewa 875tsh vodacom faida. Seriously?
 
Hilo gawio ni upuuzi mtupu. Wanatoa sh 150, 500 au 1000 inasaidia nini? Kwanini wasizitumie kufanya miradi ya maendeleo kwenye jamii ambayo itawasaidia watu wengi kwa wakati mmoja?
Ni unafiki tu hlf mwisho wa siku hilo gawio unakuta washaliiba wao wenyewe. Nonsense
 
Nakumbuka kuna Uzi humu Watu waliwatahadharisha mapema kabisa!

Mkashupaza shingo!!

Watanzania Watu wa ajabu sana
 
Na wakumbuke Vodacom wali issue only 25% ya hisa zao
Ambazo walilenga kukusanya = TZS 476 Bilion
Na hisa moja ilikuwa inauzwa TZS 850/=
Sasa mtu ununue hisa kwa TZS 850 halafu usubiri gawio la TZS 17 kwa hisa si hatari hiyo....
Kwani usiumwe hapo...!
 
Na mkumbuke pia Vodacom ni Strategic Investor
So yupo hapa kimkakati...
So kama hutajua mkakati wao ni nini , mtakaa mlie kila uchao...
Hajaja kugawana faida na wewe hapa, wao wamekuja kuchuma tu....
 
Inabidi tukupe elimu ya hisa... Kampuni kupata faida sio kigezo cha kupewa gawio.. Kampuni inaweza kupata faida ndogo lakini thamani ya hisa ikashuka ... Hapo ndio bodi inaamua ilipe au isilipe gawio...... Ukinunua hisa wewe subiri zipande thamani uziuze .....ukisubiri gawio utaishia kupata stress kila siku..
Kweli TZ watu huongea hata wasioyajua, sijaongelea bei ya hisa sokoni, naongelea sera za gawio, ambapo kwa Vodacom iwapo faida imepatikana kama ilivyopatikana mwaka 2017, na ikapatikana karibu mara tatu kwa mwaka 2018, sera ya kampuni prospectus ya IPO kipengele cha 1.7 kinawataka VODACOM kulipa gawio kwa walau 50%. Sasa maelezo simple kama haya mtu haelewi nini?
 
Back
Top Bottom