MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 12,892
- 28,921
Huo ni mtazamo wako. Hata kama ni kuliwa tsh 3000 ni kidogo. Na pia unaona wanaotapeli wako sawa? Ficha upuuzi wakoMbona mtoa post kujihami, Sana ati umejiajiri??? We sema umeliwa na wajanja, karibu darisalama
Titajuaje kama umiliwa Zaidi ya hapo,Huo ni mtazamo wako. Hata kama ni kuliwa tsh 3000 ni kidogo. Na pia unaona wanaotapeli wako sawa? Ficha upuuzi wako
Ata ukiliwa?Huo ni mtazamo wako. Hata kama ni kuliwa tsh 3000 ni kidogo. Na pia unaona wanaotapeli wako sawa? Ficha upuuzi wako
Wewe ni mpuuzi.Titajuaje kama umiliwa Zaidi ya hapo,
Kuna wahuni wanatumia huu mwanya kuliza wenzao. Kiukweli inakera.Huo mchezo wa kuwatoza fedha uishe kabisa, wengine huwa wanawarudishia nauli wale wasailiwa wote. Sasa huo mchezo mm siupendi sana, tunaishi kama tupo utumwani!. Waache ujinga aisee!
Na hata kama sio wao inabidi wachukue hatua dhidi ya watu wanaowachafuaHalotel ni genge la wahuni kutoka Vietnam
Nilikuwa nawaomba sana wahusika wawasaidie watafuta ajira kwa kukataza huu mchezo haraka sana. Kampuni kama ilikuwa na mtaji mdogo wangeangalia upande mwingne wa kutafutia pesa ila sio kwa watafuta ajira.Kuna wahuni wanatumia huu mwanya kuliza wenzao. Kiukweli inakera.
Ni kweli bro uliyonena.Nilikuwa nawaomba sana wahusika wawasaidie watafuta ajira kwa kukataza huu mchezo haraka sana. Kampuni kama ilikuwa na mtaji mdogo wangeangalia upande mwingne wa kutafutia pesa ila sio kwa watafuta ajira.
Ata ukiliwa?
Wewe unaona Dar es Salaam ndo kila kitu? Wewe ni msemaji wa Halotel? Au ndo uliyeweka matangazo mitaani? Unakera mnoHao sio halotell, wacheni ujinga miaka yote hii kukaa darisalama bado hamn'gamui tuu hizi dizaini.
We toka lini Ajira za maana zikawekwa kwa vituo vya basi au karatasi za kubandikwa mitaani, doh kweli treni limetia nanga Leo
Aliyesema ndo kila kitu Nani??? We vp wewe, me nakupa maujanja, unaleta zako za sitimbi, nshakwambia hao sio halotell, ni wajanja flani wa town, wanapiga pesa kwa mbululaz dizaini ya.....Wewe unaona Dar es Salaam ndo kila kitu? Wewe ni msemaji wa Halotel? Au ndo uliyeweka matangazo mitaani? Unakera mno
Kuna ujanja gani ulionipa hapa? Badala ya kuandika jambo la maana unaandika kama kijana mdogo wa kidato cha pili.Aliyesema ndo kila kitu Nani??? We vp wewe, me nakupa maujanja, unaleta zako za sitimbi, nshakwambia hao sio halotell, ni wajanja flani wa town, wanapiga pesa kwa mbululaz dizaini ya.....
Habari JF,
Hili jambo limenikwaza hadi nimeamua kuja na hii thread ili kama wahusika watasoma wachukue hatua. Katika pitapita zangu hapa Dar nimeona matangazo ya kampuni ya Halotel likisema linatafuta vijana wa kazi. Kilichoniudhi ni pale tangazo linapotaka vijana waende na Tsh 3000/= pale Mobile Plaza Kariakoo kwa ajili ya kujaza form. Nikajiuliza kwa kazi iliyotangazwa ni wazi watu wake watakuwa na uhitaji sana wa pesa sasa kumtaka tena atoe hela kabla ya kupata ajira ni kumuumiza zaidi. Pia hii pesa ni sawa na kupata pesa kiudanganyifu. Je vipi tsh 3000 za ambao hawatapata ajira? Ina maana watakuwa washapoteza?
Nilichukua uamuzi wa kuwapigia kwenye mojawapo ya namba 0718124229 ili kujua 3000 ni ya nini kiundani lakini simu iliishia kukatwa. Binafsi nimejiajiri na namshukuru Mungu kwa hapa nilipo ila jambo hili limeniudhi na kuniuma sana kuona vijana wananyanyasika bila kosa lolote. Tafadhali wahusika kama Polisi na wengineo kama mnasoma hapa mfuatilie hawa watu.
Mkuu huwezi kuona hata iyo namba ni ya tigoHabari JF,

Kama sio Halotel,walipaswa kubaini hilo na kutolea ufafanuzi kabla ya jamii kuathirika na kuamini kuwa ni Halotel ndio wanaohusika...Hao sio halotell, wacheni ujinga miaka yote hii kukaa darisalama bado hamn'gamui tuu hizi dizaini.
We toka lini Ajira za maana zikawekwa kwa vituo vya basi au karatasi za kubandikwa mitaani, doh kweli treni limetia nanga Leo