Roman Empire
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 619
- 1,425
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] shindwa...Tutawajaza msijal
Mimi awajanitumia nimeangaika mda Flani zima simu washa nikidhan ni network YA simu yangu Kumbe ni Mtandao waooo...."Ndugu mteja,huduma za TigoPesa hazipatikani kwa sasa kutokana na matatizo ya kiufundi,wataalamu wetu wanashughulikia tatizo hili. Tunaomba radhi kwa usumbufu"
Hiyo message hata mimi wamenitumia, wamenikera kweli nimeshindwa kufanya miamala ya maana leo
Wamezingua balaa aiseeMimi awajanitumia nimeangaika mda Flani zima simu washa nikidhan ni network YA simu yangu Kumbe ni Mtandao waooo....
Mhhhh hiyo kuipata muombe Mungu wako,,, utaambiwa IPO hewani subiri siku saba....heri wewe mi kunamtu kanirushia 105000 asubuhi hadi sasa haijafika