Kero: Kutorudisha chenji DART Morocco

Kero: Kutorudisha chenji DART Morocco

Nenda na chenji kamili.
Au wewe ndio ungekuwa cashier pale ungefanyaje?
 
Sioni sababu kwanini wasiwe na chenji ya kumrudishia mteja. Kama sio mradi wa kujipatia pesa za bure.
 
Kwani si wanajua nauli 650 kwahiyo katika hali ya kawaida sh 50 inabidi ziwe za kutosha kwa ajili ya change, waache habari zao.
 
Kwani si wanajua nauli 650 kwahiyo katika hali ya kawaida sh 50 inabidi ziwe za kutosha kwa ajili ya change, waache habari zao.
Hata wewe si unajua nauli 650/- kwanini usiende na change kamili?!
 
Back
Top Bottom