Kero kubwa mno ukiwa bar au club

waraha

Member
Oct 24, 2014
22
5
kwa mfano umekuja uko club ama bar anatokea mshkaj anajidai anakufaham unampa bia moja.. wewe uko na dem wako hapo... kale ka bia bas anakanywa halaf anaanza kumshika shika dem wako kiuno... anaking'ang'ania wee kuliko hata we mwenye pesa... haka katabia kanakera mno ama mnasemaje waungwana
 

wewe ni zuzu? iweje MTU amshike mwanamke wako kiuno?
 
Wewe ukiwa wapi? Kwanza unalipa kodi kweli wewe au unahonga pesa zetu?
 

Jamaa unaonekana una kaumbo kadoogo halafu mnyonge sana#
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…