Kero kubwa Airtel Money Tanzania

rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
2,967
3,189
Kwema ndugu,

Kero yangu kubwa nawapa kitengo cha Airtel Money, yaani mtu ukikosea hela au mtandao ukisumbua yaani mpaka pesa yako irudishwe kwenye inachukua siku mbili mpaka tatu.

Tunawaomba mpunguze huo ukiritimba.
 
Mimi nilikosea kutuma hela ijumaa nikatoa taarifa nikaambiwa nisubil mpk jumatatu jana jioni ndo wamenitumia
 
Back
Top Bottom