Maisha ndivyo yalivyo, sometimes, ilimradi tu mambo yasiende. Lakini kwa wale wanaume wasiokunywa pombe, wanarudi mapema na wanasaidia baadhi ya kazi za nyumbani mambo ni mazuri??? I'm one of them, but I wish ningekuwa mlevi kama wanaume wengine. Ukikaa nyumbani filimbi hazikomi na unapofika huo wakati wa kwenda kulala tayari kuna vi-bif vya kijinga vingi ambavyo ndo vinakuwa cited kama sababu ya kunyimwa uhaus. Hakuna lililo jema kwa mwanamke kwenye mambo kama haya. There is always KISINGIZIO!!!
hata ile feki nayo huwa inafanya hivo?:A S tongue::A S tongue:nyie wanaume but why do you do this to us??
ni kosa kuwapenda n akuwajali kiasi hicho jamani?
hata ile feki nayo huwa inafanya hivo?:A S tongue::A S tongue:
kuna mwenzio juzi moja alikuwa analalama ..............anasema yeye kwa sasa ana mtoto mdogo ni mama wa nyumbani amekuwa. anashughulika saa zote kuhusu mtoto mdogo na wengine wawili wakubwa, masuala ya chakula kuwalisha kuwavisha kufua na kila kitu. Hana msichana wa ndani wala mtu yoyote wa kumsaidia kazi.
ikifika weekend Mwanamme anasema amechoka kazi nyingi Mke awa control watoto wasimsumbue. Alikuwa akilalama hivi mwanamme anamtegemea yeye apumzike saa ngapi?
nyie wanaume but why do you do this to us??
ni kosa kuwapenda n akuwajali kiasi hicho jamani?
naona lile somo la KATIKATI YA MISTARI umeanza kufaulu eeh!leo umepata ''C'':A S tongue:dah ya kichina haifanyi hivo ila hapa nimevaa viatu vya wanawake wenzangu wanopitia haya mambo.
lakini mpwaz labda ni mapema mno kuisemea.................
AAH!FREEESHHHHIIIIIIIII!(ki-clouds fm hapo)Huwa mnajisikiaje lakini??
Pole First Lady! But nadhani ukiendelea kumfanyia mazuri muda anaochelewa kurudi let say in a month then ukatafuta weekend moja mkatoka out ukamweleza machungu yako, nadhani ataelewa!
Pole sn mpnz,yan mbona me hata naogopa,yan hapa nlipo tu kama boyfrend na girlfrend ni kazi,sasa nikiingia huko itakuwaje?
yan hawa wanaume hawakumbuki hata kama wametoka kwa mtu anitwa mwanamke?,kwanini wasituheshimu jamani?
Mimi nam-appreciate sn mwanaume anayemheshimu mke wake/mpenzi wake hata kama anatoka nje.(fide,crispin,makoyo mpo??,kwa niaba ya wenzenu)
hee huyu mwanamme ana vituko..siku za weekend inabidi amsaidie mama watoto kazi ndogondogo .
kazi za home ni nyingi na zinzchosha sana ..pia haziishi ukimaliza hii inaibuka nyingine ..
Huyu jamaa hana huruma hata kidogo
Uhondo wa ngoma ingia ucheze ndio utajua utamu na uzuri wake.
yalishanikuta sina hamu na kiumbe kinaitwa mwanaume ..no not at all..................:closed_2:
This must be a faithful man....analewa pombe tu na si kingine maana ulevi mbaya ni ule wa pombe na ngono na mambo yanayoendananayo.Mmeoana /or Boyfriend na G/friend mahusiano ya sasa hayatabiriki maana baadhi GF/na BF tayari walishaanza kuishi kama wanandoa:A S 39:
Mwanaume unatoka kazini au popote katika shughuli zako za kila siku badala upite nyumbani kuijulia hali familia ndio uendelee na mengine unapitia Bar au kwa marafiki zako, Mama /Mpenzi kaandaa chakula kasubili utatokea saa tatu/nne /tano huonekani Wife anaamua kulala .
Saa saba /au nane /Tisa mme anaingia kwanza ananuka pombe utampa maji ya kuoga, chakula maybe atakula au atagoma..then anadai unyumba ...:A S-confused1:
Hii naona kama ni Kero kwanza unakuwa umemsumbua usingizi wake kuukatili ,then aanze kujiandaa kisaikolojia ili upate haki yako......kwanini usirudi mapema kaa na family /kuleni pamoja /na muda wa kuingia kulala mnakuwa pamoja........(faragha )
Why .......Why........ Why ????
causin inawezekana wa kwako akawa tofauti ...we jitose tu kwenye chama hiki muda ukifika ..lakini hawa jamaa sijui wakoje ..anaacha bear kwenye fridge nyumbani huyo chawote bar
Sasa FL nikijitosa wakati nimeshaona dalili ya mvua ni mawingu,itakuwaje akiingia ndani.Yaani kumuomba Mungu tu tufike salama,na tuwaendee kwa utaratibu coz ndivyo walivyo.causin inawezekana wa kwako akawa tofauti ...we jitose tu kwenye chama hiki muda ukifika ..lakini hawa jamaa sijui wakoje ..anaacha bear kwenye fridge nyumbani huyo chawote bar