Ni kero, inabidi kubadilika. Ila ushauri kwa Mwanamke... Hata akirudi asubuhi, mpokee vizuri, muandalie maji ya kuoga, muulize atakula nini.. akifanya hivyo kwa miezi kadhaa! Ipo siku ATABADILIKA huwezi amini.... Ila kama akirudi amelewa halafu wewe unamKOROMEA.. Walah hawezi acha.. Akina MAMA mna nafasi kubwa sana ya kujenga au kubomoanyumba zenu.
Kumbe tuwabembeleze kama watoto au mnafanya makusudi?????khah inachosha
hii kuna wakati inasaidia na kuna wakati inavuruga kabisa, inategemea kichwa cha mwanaume, kama maji maji tu hata ufanye nini! mie ilinisidia lakini sio kwa kuuliza unakula nini na cjui kitu gani, mie ilikuwa kwa kumtayarisha asubuhi, nguo kila kitu safi, haulizwi mtu ametoka wapi wala ilikuwaje, alikoma na kichwa cha kimarangu, alijirudi mwenyewe!...
Hongera sana Nyamayao!!!
nani wa kumkumbusha mwenzie wakakti wote wamekutana?....FL mie nikipika lazima ale, yaani akitaka tulale kwa amani bac ale tu, nachoka jamani, unatoka job upo hoi, unawahi home kupika ili aje akute mambo shwari then likirudi huko licle, hapana ayakula wacha atapike.....ndoa ngumu bwana.
[/COLOR]
nahisi asipokula atalala nacho kwa kitanda, no joke!!!!!!!!!!!!!
nahisi asipokula atalala nacho kwa kitanda, no joke!!!!!!!!!!!!!
Ni kero, inabidi kubadilika. Ila ushauri kwa Mwanamke... Hata akirudi asubuhi, mpokee vizuri, muandalie maji ya kuoga, muulize atakula nini.. akifanya hivyo kwa miezi kadhaa! Ipo siku ATABADILIKA huwezi amini.... Ila kama akirudi amelewa halafu wewe unamKOROMEA.. Walah hawezi acha.. Akina MAMA mna nafasi kubwa sana ya kujenga au kubomoanyumba zenu.
DAH!......:bounce:
Mmmmhhhh! We nawe!
dearest...lazima ale, yaani akitaka amani ni ale, kama aliona angekula huko aliko angesema.
umepiga ikulu!tena kwa obamaha ha naona nimekugusa Teamo :A S 39:
nini tena???
hapo sasa japo mtu awe considerate enough akuambie mamii leo msosi home no, anakuacha unajibidisha afu akirudi ananyooka kitandani................agrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!
nini tena???
hapo sasa japo mtu awe considerate enough akuambie mamii leo msosi home no, anakuacha unajibidisha afu akirudi ananyooka kitandani................agrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!
nahisi asipokula atalala nacho kwa kitanda, no joke!!!!!!!!!!!!!
siku hizi hatuli baa wala kwa ELIZA!.....bht inakera kweli kweli ..unaamua kukaa jikoni mwenyewe ingawa umechoka na ubangaizaji wa kila siku..unapika menu saaaaafi
mzee anakuja eti ameshiba..kisa sijui ndo kachipatia chakula Bar na kina Eliza..lete kuku ,nyama choma ,ndizi .mishikaki......
na pengine umechukua jitihada za ziada kumsubiri ili mle wote...ni mwendo wa saa 7 ndo mzee anaonekana home,anagoma kula basi na we apetite haipo tena,linanyooka kitandani then anaexpect miujiza itokee huku kwa bed....aaah jameni
bht inakera kweli kweli ..unaamua kukaa jikoni mwenyewe ingawa umechoka na ubangaizaji wa kila siku..unapika menu saaaaafi
mzee anakuja eti ameshiba..kisa sijui ndo kachipatia chakula Bar na kina Eliza..lete kuku ,nyama choma ,ndizi .mishikaki......