Kero hii Uwanja wa Ndege JNIA

Kero hii Uwanja wa Ndege JNIA

Hakuna group 4 pale ila kuna wafanyakazi wa Tanzania airports authority (mamlaka ya viwanja vya ndege), pia kuna watu wa immigration, tra na usalama wa taifa

wapo pia walinzi wa kampuni binafsi pale ndani mkuu nadhani ni wa Ultimate Security mkuuu
 
.....kama fikra ndio hizi walizonazo wengi wetu....."hii hatari".......huo hapo juu ni UZEMBE WA HALI YA JUU....tena mtu anautetea....duuh



Mkuu Ngoshwe....naona ume-give-up kirahisi mno mno......yaani ulianza vema......sasa unaunga mkono UZEMBE!!!

Mkuu nilimaanisha sipingi kadi za chanjo kutolewa pale Airport lakini iwe kwa mfumo halali na sio magumashi na wizi unaopoteza mapato ya Serikali. Siafiki hata chembe Tabia za Uboko Haramu za wahudumu wapo ambazo ni Kero na Aibu kwa Taifa
 
Ngoshwe Mkuu

Kwanza naomba nikujulishe Akuna anaeruhhsu kupita pax bila kadi ya chanjo

Huo ni uongo mkubwa kama wamekuruusu ielze jamii ukweli ulirudishwa


Katikanchi mbaya zinazorudisha pass bila kakdi ya njano ni southafrica m nilikuwanafanya hapo kabla ya kuhamia bandarini

Nakuhakikkshia kama utaweka docs uliingia southafrica bila Madhya chanjo na ukapita unishike ------


Nakueleza Hili namaanisha ndio maanawengi wanatoa cash sababuhiyo na sikuhizi awapotena hao jamaa wanakupeleka ofisi zao za afya unamalizana nao


Na pengine ni watanzania kutojua hakizao Ama ushambawakusafiri pale mnazimmojahosp ni sh alfu 7000

Ukikosa ukaenda empty wanakutoza alfu 40 mpaka 50 sass kwa nini usininue kama utakishida
 
kwa watanzania wen zangu ambao mmewahi kutumia Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wa Jijini Dar es Salaam kwa safari za nje labda mmewahi kukutana na Kero hizi: Ukiwa una safari usiku, pale kuna wahudumu na walinzi ambao ni Kero sana...Hivi karibuni nilikumbana na kijana amelewa yupo karibu na eneo la kucheck in abiria ndani akanibana "ooh bro. lazima unitoe hata na dola 10 mdogo wako, ninyi wenzetu mnasafiri sana".

Siku si nyingi wakati nasafiri tena kuna walinzi wa Kampuni binafsi Group 4 nadhani naona Mara zote huwa ni wale wale tu hawabadilishwi...wawili wakanibana, kaka haiwezi kutuacha. Hivi Hivi...Nilipofika juu eneo la kusubiria ndege nikakuta kuna msafiri amebanwa na wale walinzi wanao clear passport kabla hujaingia eneo la ku board ndege. Abiria huyo alikuwa na kadi ya chanjo (yellow fever) ambayo juu yake haikuwa na jina wala passport namba yake. walimbabatiza kuwa hiyo kadi si halali na kuwa wao wamekuwa wakipokea kesi Nyingi tu za watanzania kurejeshwa Afrika ya Kusini kutokana na kuwa na kadi feki. Jamaa waliotoa kama 20 Hivi wakamtengenezea kadi nyingine hapo hapo. Nilidhani ni suala geni hili lam kupata kadi ya chanjo hapo...Juzi wakati naelekea tena Afrika ya Kusini, Jamaa wakanibana, " mzee kadi yako Ike expiry, imechkaa,imechanika"...Nikasema sina nyingine ni hiyo hiyo na nimekuwa nasafiri na hiyo hiyo muda wote tokea 2006.
Jamaa wakadai haiwezekani kuniruhusu, nikawauliza sasa inakuwaje?..wakaniambia kama una Tshs. 30,0000 unapata faster....wakanielekeza kwa mmoja wao ambae alikuwa amezishika kadi nyingine mkononi. Nikawwambia ninyi sio mamlaka ya ku clear taaraifa za chanjo za ndui. Cha kushangaza nilipokomaa nikaruhusiwa, nikapata Boarding pass na kwenda ku board...
siku hiyo nilikuwa na Perfume kwenye begi yangu. Nilipofika sikuikuta na begi lilikuwa halijafunguliwa ila mmoja ya zip ilkuwa imevutwa upande.

kuna kero zaidi ya hizi pale Umwanja wa ndege, kama kuna mdau anaweza kufanya investigative story kwenye combo cha habari anaweza kupata habari zaidi pale ..

JNIA hakuna walinzi wa group 4 kama unavyodai pia swala ka kuombwa pesa na walinzi si la kweli kwani walinzi wa JNIA hawana shida ndogo ndogo mishahara yao mizuri labda ulikutana na mfagiaji pia hayo mengine sina uhakika

Mkuu Hili la hela ni kweli

Nimeshuhudia macho yangu nytshift wale walinzi wanaomba live jamani mnaondoka nchinintuachieni mazagazaga Ama alikuheshimu anatajakiasi

Pill kwell wale jamaa usiku wanalewa na Hilo management Taa inajua walitolewaga baadhi sijajua kama hako kamchezo bado kapo
 
Tabia ya kufungua mabegi ya watu inakera sana. Mara ya mwisho nilikuta begi langu limefunguliwa zipu ya pembeni. Niliweka wire wa laptop nikakuta unachungulia nje nahisi waliuvuta wakizani ni kitu cha maana. Bahati nzuri zipu kubwa nilifunga kwa kufuli. Tabia mbaya sana
 
Mkuu Hili la hela ni kweli

Nimeshuhudia macho yangu nytshift wale walinzi wanaomba live jamani mnaondoka nchinintuachieni mazagazaga Ama alikuheshimu anatajakiasi

Pill kwell wale jamaa usiku wanalewa na Hilo management Taa inajua walitolewaga baadhi sijajua kama hako kamchezo bado kapo

Bado ipo Kamanda...pale ni kama Dampo. so disorganized na ndio maana hata wavusha sembe wanaweza kukatiza wakaenda kukamatiwa South Africa au China....bado panahitaji maboresho makubwa.
 
Back
Top Bottom