Punguza kufwatilia sana sisa za Kenya, utashikwa na wazimu, Siasa za Kenya tuahia wenyewe tunazijua vizuri... Alafu isitoshe Uhuru anamaliza muhula wake wa pili ukiisha anaenda nyumbani akapumzike, siasa ndogo ndogo hazimsumbui akili ndio maana ameshikana na Raila bila kujali hisia za chama chake ja Jubelee, na hata Juzi Kalonzo musyoka amepewa cheo cha special envoy to South Sudan .... Ukifwatilia kwa karibu Uhuru siku hizi hua hajihusishi na siasa za ndani...Acha kujitetea, haiwezikani rais mwenye shida amuite rais kumtembelea, hiyo itakua ni dharau. Mwenye shida ndiye anayemfuata mwenzake, hasa katika hizi ziara za kibinafsi.
Lazima Uhuru kuna jambo anataka kumuomba Magufuli asaidie. Sasa hivi Kenya inapitia kipindi kigumu sana, hasa kuhusu siasa za ndani ya Kenya. Huwezi kujua kwasababu huenda kukatokea uasi ndani ya Jubilee wakati wowote kuanzia sasa.
Kumbe nawe ni mkurupukaji huyo mjingaAliosema Jagwa ni maneno tu, Tofauti na huko Tz ambapo Mkenya mfanyabiashara alitekwa nyara jijini DSM na hadi sasa hajulikani aliko... Labda Uhuru kakwenda kukaba koo JPM na hatoki huko Tz hadi huyo mkenya aregeshwa mara moja> Ulifikiria hilo????
That will be good for everyone!I suspect RAO will be there also! This visit is a result of handshake!
Unafikiri transcriptions department ya IKULU ni kama huo uchafu wenu ninyi wa hapo Harambee? Each character kwenye hiyo press release ipo in accordance with the respective discourse and order, wewe ndio utakua mbumbu wa Kiswahili kabla ya Mtanzania
Usifananishe na huu uchafu wenu upo kama kipeperushi cha tiba za miti shambaView attachment 1145733
Check kitu hicho. View attachment 1145736
Wewe na wenzio mlikua mnajisifu kwamba GoT inajua kuandika barua na kutumia maneno vizuri kuliko GoK, Barua rasmi iliotiwa saini na mkuu wa mawasiliano ya Rais ikulu ilisema JPM kamualika Uhuru, sasa tayari unataka kugeuza hadithi kwasababu haikufai... ebo!Kumbe nawe ni mkurupukaji huyo mjinga
Alijiteka na kujitupa kwa shangazi yake Mombasa
Anasubiriwa huku akitua tu atasema huo upuuzi kamtuma nani!!
Alafu saizi Live Kurugenzi ya Ikulu inasema Kenyatta ndiye alie toa maombi ya kukutana na Magu
na Magu akaridhia Aje
Haya kwanza katua kwa heshimaMtuonsheni hizo picha za Uhuru huko chato mkizipata basi ehh!?
Uliza tenaMtuonsheni hizo picha za Uhuru huko chato mkizipata basi ehh!?
Ntakujibu MudaWewe na wenzio mlikua mnajisifu kwamba GoT inajua kuandika barua na kutumia maneno vizuri kuliko GoK, Barua rasmi iliotiwa saini na mkuu wa mawasiliano ya Rais ikulu ilisema JPM kamualika Uhuru, sasa tayari unataka kugeuza hadithi kwasababu haikufai... ebo!
Asanta!.... hapo pa bendera, hio ni airforce one yetu, ... hata Obama alipokuja Africa aliweka bendera mbili, moja ya marekani nyengine ya hio nchi anayotembelea.Haya kwanza katua kwa heshima
anapeperusha bendera ya Tanzania
Hahaha
View attachment 1147300View attachment 1147301View attachment 1147302
Ni utoto ndo unakusumbuaKumbe chato ipo geita ...kule watu wanapika watoto ili kupunguza makali ya njaa
Aa!!Asanta!.... hapo pa bendera, hio ni airforce one yetu, ... hata Obama alipokuja Africa aliweka bendera mbili, moja ya marekani nyengine ya hio nchi anayotembelea.
BTW, Hio TBC iko na link ya live stream tuaangalie pia sisi?
Akili zako Zimejaa Utoto kuliko utoto wenyeweKumbe chato ipo geita ...kule watu wanapika watoto ili kupunguza makali ya njaa
Ni utoto ndo unakusumbua
Mbona mnaweweseka? Ina maana zile habari huletwa humu ni za uongo?Akili zako Zimejaa Utoto kuliko utoto wenyewe
Mbona mnaweweseka? Ina maana zile habari huletwa humu ni za uongo?
Basi kweli ndio maana Uhuru Kaenda ApikweMbona mnaweweseka? Ina maana zile habari huletwa humu ni za uongo?
Haya kwanza katua kwa heshima
anapeperusha bendera ya Tanzania
Hahaha
View attachment 1147300View attachment 1147301View attachment 1147302
Basi kweli ndio maana Uhuru Kaenda Apikwe