Hehehe hata alale chumbani kwa magufuli,Takataka kama brookside hazikanyangi Tz.
JPM sio mtu wa kushawishi ukitumia binu za kiselasela hivi..Sijui anatafuta nini chato, nikama tu yule demu ushaa fyeka na kudump tena hakomi kuingia inbox..
Aisee tabia hii hukera sana