hizo sio apartments....alafu hii picha inanikumbusha enzi zile wakati nairobi ilikuwa inakuwadefined na picha ya times na kicc.dar saii ni apa tu when nai imetoka kwa old cbd inaunda ingine upperhill yenye inaweza shindana na hapa.westlands nayo iko na ghorofa sita kwa mpigo yenye itatoa hii alafu wewe bado unaotaHawapi kwa apartment nairobi haigusi dar hata kidogo.upanga yote imejaa apartment na ni majengo makubwa sana.nairobi nyie mna nyumba za chini nyingi.tuseme dar inaizid nairobi kwa magorofa mengi nyie mnaizidi dar kwa vinyumba vya chin.alaf wakati nyie mnajenga vicheap flyover dar wamejenga daraja kubwa hakuna east africa.
acheni ushamba wakenya kwa kupenda kusifia vyenu huku mkiona wengine hamna kitu.na ukitaka kujua mnapenda sifa angalia jinsi mnavosifia mlima kilimanjaro na wakati hata haupo kwenu,au mnavopenda kusifia wildbeest migration kutoka serengeti kuja eneo dogo la masai mara kila mtu atajua kuwa mnasifia.wakati wanyama wanaishi serengeti na huko wanakuja mda mfupi tena wanarudi kwao serengeti.lakin nyie ni misifa tuu.kila sehemu.kwaio hatushangai mnavosifia nairobi ivo.View attachment 419068tafuta image nzuri kama hii kqma utaiona nairobi hamna kabisa
Duuu bongo yetu imenoga!!!Hahahaha, bwahahahaha..
I like the way umetokwa povu,
BTW its wkend, karibu tuangalie mechi ya ATL VS GRA huku tukipata castle lagger baridi..
Then uniambie those flyovers are of what standard, na tel me if these photos of dar cbd are weirder than nai's
Dar cbd
View attachment 418660
View attachment 418662View attachment 418663View attachment 418664View attachment 418665View attachment 418666
Enjoy, n please do not hesitate to pm me if u need more photos[emoji16] [emoji16] [emoji16]
View attachment 419074nikisema dar ina majengo mengi namaanisha kama hapo.okey tafuta nairobi kama hapo uone kama utapata zaidi ya vipara vingi mjini.saiv dar ni kama sao paulo kwa density ya majengo yake. Sema saupaulo ni marefu sana[emoji2] [emoji2]
Do me a favor, in that town of Nairobi search from all angles and bring me something like this,Dar hakuna lolote...From that aerial view...you can count only some ten true skyscrapers.The rest are Kariokorish death traps...zile zinaongezwa floors on an existing 3 storeys building.Now you know!!!!
Hehehe eti ghorofa sita,hizo sio apartments....alafu hii picha inanikumbusha enzi zile wakati nairobi ilikuwa inakuwadefined na picha ya times na kicc.dar saii ni apa tu when nai imetoka kwa old cbd inaunda ingine upperhill yenye inaweza shindana na hapa.westlands nayo iko na ghorofa sita kwa mpigo yenye itatoa hii alafu wewe bado unaota
You have a dwarf capacity to decipher the subject matter at hand.Poor grammar.
I can't bring you something like that from Nairobi, I'll bring better. Check out this.Do me a favor, in that town of Nairobi search from all angles and bring me something like this,
View attachment 419235
Show us existing things please...................Hehehe eti ghorofa sita,
Kweli now Mnatia huruma,
BTW, in dar that cbd yu've been seeing inaanza kukosa umaarufu..
Now there is a massive construction of two new BD's in dar,
Victoria and Kawe city,
Achana na Kariakoo..
(As u r aware that Dar = nairobi*3)
Here is Victoria dsm
View attachment 419253
And here is Kawe city u/c
View attachment 419254View attachment 419255View attachment 419256
Hapo bado hatujazungumzia kigamboni..
Do me a favor, in that town of Nairobi search from all angles and bring me something like this,
View attachment 419235
Unajisahaulisha kua kariakoo ndio mtaa mkubwa wa kibiashara Africa mashariki na kati ? Uku kwetu ndio kanda maalumu yakikodi maana tra wanavuna pesa nyingi sana pale kariakoo pekee na hapo hatujazungumzia sehemu zingne s daresalam. ....ukitaka kuiponda dar tafuta sehemu zingne tuachie kariakoo yetu sisi ndio tunaoelewa umuhimu wake kwa mapato ya serikali. .......ni ngumu kuja kua na ward kama kariakoo Kenya. .....hiyo imewezekana tu daresalam. ....nasema hivi msituchukulie poaGive me a break and get something better to do....Acha kutuonyesha aibu za kariokor