Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
At least Tanzania has shown sense in not wasting her meagre resources in arming up and enrinching the rich producers of weapons. This is a status we need to maintain.
Hizo statistic binafsi siziamini sana. Sababu kibongo bongo mambo ya jeshi wanasemaga ni nyeti. na ni siri
Ni kweli inawezekana matumizi yetu ni madogo kuliko kenya lakini kuna data zimefichwa.
Ukisikia mambo ya MEREMETA. sijui jeshi lina miliki mgodi ujue kuna transaction nyingi zainafanyika jeshini hazijulikani na watu wengi. Na kuna wajanja wachache wanatumia mwanya huo kujinufainisha. Tusidanganyike hayo ndo matumizi ya jeshi la tanzania.
Upande mmoja tuwapongeze JWTZ kwa kufanya mambo yao kuwa siri lakini upande mwingine hizo siri ndo zinafanya madudu mengi mengine
Kitu kingine No matter Jeshi la Nchi kama kenya liwe na vifaa kiasi gani kama bado halina umoja ni kazi bure. yaani kwa adui mwenye akili ni rahisi kuwafanya wakenya wauwane wenyewe kwa wenyewe bila kutumia hata kifaru.