thisadeys...wacha kupayuka ukabila..hko baringo si ni kw wakalenjin...m nakupa kitu real wewe unapayuka ukabila...ukwel hyo jamaa kapiga hela na analeta sababu za kijinga full stop...kuna wanariadha wangapi na wana magari..si wangelianza kulalamila wananchi wakawaida kwanza...
kuna kenya police msela yupo hom off na kaniambia hyo ndio kazi ya hao wakubwa....wao kazi ni kupiga hela za mafuta tu na znginezo
Mimi siongelei Baringo peke yake, comment yangu inalenga Kenya at large. Turkana, Marsabit, lamu e.tc. hayo maeneo uki ambiwa yapo kwenye nchi inayo claim ina uchumi wakati unaeza lia kwa huruma. Kuhusu ufisadi nivizuri umekua mkweli kwa leo ila siku zote huwa tuna waambia kuwa mnachezwa huwa mnatubishia. Almost kila mradi Kenya watu wanapega pesa ndefu na tatizo lina anzia kwa namba moja wenu.
Nyerere alipatia sana kuto kuwa mkanda, unaeza ona tuko nyuma ila ukitoka kwa majirani unashukuru tulipo. Sasa hivi na hii REA inavyo sambaa nikisafiri nakuwa proud sana na nchi yangu na kodi nayolipa.
Mimi siongelei Baringo peke yake, comment yangu inalenga Kenya at large. Turkana, Marsabit, lamu e.tc. hayo maeneo uki ambiwa yapo kwenye nchi inayo claim ina uchumi wakati unaeza lia kwa huruma. Kuhusu ufisadi nivizuri umekua mkweli kwa leo ila siku zote huwa tuna waambia kuwa mnachezwa huwa mnatubishia. Almost kila mradi Kenya watu wanapega pesa ndefu na tatizo lina anzia kwa namba moja wenu.
naona una i underestimate lamu...ila fanya kuitembelea hta siku moja tu...na km ni northern mbna sai ugatuzi unapafungua pole pole tu...hyo marsabit unayoitaja iko na one of the best road hta kushinda barabara nyngi sana za magufuli

ni ovyo kwa sababu kule kwaishi wafugaji tu ...halafu lamu mbna imeshinda towns nyingi sana za hko bongo km sikosei....nlikuwa hko last week bro ....ile tuipe miaka ya kuhesabu tu...jamaa watkubali na kufuata mfumo wa kisasa...hilo pia linatakiwa wafanye hvo hvo sehemu za north...eneo kubwa watu wachache...ikiwezekana serikali iwatengee mahali nzuri na hzo affordable houses wawajengee hilo eneo..kwngine tufanye kilimo km wazee wa north wanavyonawiri(egypt)

hyo pesa ililiwa tu....hyo boss wa police wa hilo eneo amesgapiga hyo pesa...analeta sababbu nyingi tu....budget ya mafuta 450lts per month alafu unasema gari limekosa mafuta kisa mafuta yanapatikana mbali...
nambie msukule wa cccm....mwenzenu FB kasema baada ya Mungu ni magu ...bwahahahahaaaaa..kweli nyie wasukule....anyway rudi kw battle kule...mada km hizi si hadhi yako

Ukisoma vizuri utagundua hii habari ni politically motivated, its more about the disarmament of police reservists than the armoured vehicle .........
1. The artle starts by saying armoured vehicleS, as in plural, alafu kinachoongelewa ni gari moja.....
quote: A vehicle allocated to the ASTPU in Chemoe has been grounded for several months for lack of tires,” Baringo North MP William Cheptumo complained. :end quote
One vehicle out of over 500 vehicles inakua habari really! Alafu badala ya police OCPD wa hichi kituo kuongea ni mwanasiasa ndo analalamika, badala ya kulalamikia kamanda wa polisi wa county, au provisional commander au inspector general au waziri wa usalama, jamaa anaenda direct Kwa wanahabari kulalamika kwamba gari liko garage alafu anaanza kusema NPR wasingepokonywa mabunduki..etc
BTW has anyone noticed Hilo gari ambalo linaambiwa halina spare, Yani hakuna mtu ameiona hio spare tire inaning'inia Kwa mlango wa nyuma wa Hilo gari !!!!!!!!!! Besides these tires are the same ones zinazotumika Kwa land cruiser za polisi ambazo kila stesheni ya polisi iko na land cruiser mbili ambazo kila moja iko na spare moja so those are three spare tires already zenye ziko Kwa hio station! Watueleze vizuri walikua wanacheza mchezo gani na Hili gari!
Alafu Kwa wale wanaosema eti sijui Kenya hakuna pesa, if one station needs 450l a month and diesel/petrol is at least 110ksh/ltr and if there are 500 new vehicles unveiled last year that's ksh 25 million worth of fuel every month , hii NI mbali na repair and maintenance, kama ingekua hakuna pesa habari ingeanza na kusema hakuna mafuta manake hio ndo bidhaa inayotumika kila siku, repair hufanyika mara moja moja Tu... So this is not about lack of money, ni uzembe flani unafanyika hapa au kuna mtu anafanya maksudi, mbona hatujawai sikia gari la mbunge limekwama kwasababu halina spare? Wabunge hutumia ma V8 na hupewa fuel allowance na pia maintenace hulipiwa na serekali ..
nambie msukule wa cccm....mwenzenu FB kasema baada ya Mungu ni magu ...bwahahahahaaaaa..kweli nyie wasukule....anyway rudi kw battle kule...mada km hizi si hadhi yako
a wapi....mbna nikija hvo vijana wanapagawa na mm...kwanza navaa suti ya nn ndugu...na si mambo yangu...ile nikupoteza rada tu ya vikao vyetu dili....wacha nyinyi...ifikapo meeting yyte ya dili au mwaka wenzangu huaga wana nikashifu sana eti nikakomboe suti hta km ya elfu saba..lkn ya nn braza..mida yake ikifika sawa ila kw sasa...noooo...mm nadunga zile zile tu bro...si bora siku iishe bana.
..siwezi poteza hela kununua suti zenye hta sitokuja zivaa

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.