Kenya's 2018/2019 fiscal budget to hit 29 bln USD -7 bln USD more than Nigeria

Amazing that oil exports fund 67% of their budget yet you get that type of low budget for 180m souls.Alafu watu wengine hapa wanasifu Nigeria ati bajeti yao ndogo inaonyesha "wise spending and budgeting "
Angalieni balance sheet ya Nigeria vs Kenya, hapo ndiyo mnaweza kusema nchi gani ndiyo inafanya vizuri, acheni kuangalia matumizi ya nchi, nchi Kama Mauritius, inaongoza Africa kwa uchumi mzuri, lakini GDP yake ni ndogo na bajeti yake ni ndogo kuliko za Kenya na Tanzania, wangeweza kuweka bajeti kubwa kadri wapendavyo, hivyo hivyo kwa Botswana, uchumi wa nchi haupimwi kwa GDP au bajeti kubwa pekee, kuna mambo mengi lazima yote yawe yanawiana sawasawa
 
Huo ni mchezo wetu wa kawaida hapa jf. Mnaweza tushinda mkijitahidi.
yeah tutawapiku tu soon I hope your seeing our current reforms kuanzia tax administration mpka kwenye minerals na bandari tena with the discovery of gas and uranium in lindi and dodoma respectively ur reign is almost over
 
Back
Top Bottom