Duh wapo jamaa wa South Sudan sidhani kama walishirikishwa.Ebu angalia hawa ndiyo vipusa wa S Sudan.
Hujakosea hata kidogo. Wahenga walisema "mpenda chongo huona kengeza"!Ujinga huu siwezi kukubaliana nao kabisa mke wangu wa pili ni mkenya (mjaluo); yes ni mweusi lakini mzuri sana aisee, meno meupe shape safi kabisa..
Huu ni ujinga na bad looking wako kila taifa..aisee sijapenda haya matokeo hata kidogo..
Anyway inawezekana kwasababu nina interest na wakenya
Haya mashindano mengine ni ukiukwaji wa haki za binadamu hata Mungu hapendi kwani kwaye kila mtu ni mzuri thts why akamuumba. By the way the thread made my furahi day!
Haujui kuwa hapa Tanzania yalishafanyika mashindano ya kutafuta mtu mwenye sura Mbaya jamaa fulani wa Ilala akawa wa Kwanza akifuatiwa na Marehemu Remmy Ongala
Hahahaha this is googd news sio Africa tu bali world wide, wakenya sio kwamba wna sura na maumbo mabaya, bali hata roho zao ni mbaaaaya.
Mnaowatetea wakenya hayajawahi kuwakuta..... jamaa wana wanatisha hawa