Tetesi: Kenyans are not getting value for tax: World Bank

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
4,310
7,464
WB imetoa tamko kwamba ushuru wanaolipa wakenya ni kazi bure. Haifaidii Mwananchi wa kawaida 👇

===========================

Kenyan taxpayers are not getting full value for the hundreds of billions of shillings spent on development projects, a new World Bank report has stated, arguing that countries running similar budgets have achieved more than Kenya.
In the latest analysis of Kenya’s public expenditure, the World Bank says weaknesses in project selection, procurement planning and implementation delays are behind the relatively low public investment outcomes.
“Despite a ramp-up in development spending, public investment remains low relative to peer countries,” says the World Bank. “There is scope for improvement on outcomes realised relative to inputs in terms of public spending in education, health and physical infrastructure.”
It wants the government to do a sector-by-sector deep-dive analysis to quantify exact amounts of Budget allocations that could be saved and potentially re-allocated to other projects to maximise value for taxpayers.
The report says that Kenya spends about 20 percent of its GDP to achieve just 0.17 percent growth in GDP per capita -- a measure of how much each citizen would get if a country’s wealth is distributed equally.
RELATED STORIES
ADVERTISEMENT

“This is lower compared to Israel at the frontier that spends almost similar (20 percent of GDP) and gets a 12.2 percent growth in per capita GDP,” says the report.
This means that the Sh701 billion that Kenya has lined up to spend on development in the current financial year may not go the same length to improve the lives of Kenyans as it would for a similar amount spent for Israeli citizens.
For instance, the report says, many countries such as Hungary, the Czech Republic and Bulgaria with similar levels of per student spending as Kenya have achieved higher completion rates in secondary schools compared to Kenya.
“A cross-country comparison between spending per secondary student (in per capita GDP percentage terms) and secondary completion rates shows that given what Kenya spends, there is room to obtain higher outcomes in terms of secondary school completion rates,” notes the World Bank.
This suggests that Kenya’s education outcomes could be improved at the current level of spending or alternatively spend less and achieve levels of education equal to what countries like Ecuador have.
The trend also plays out in the health sector where Kenya’s infant survival per 1,000 live births is lower when compared to that of other countries with similar public health expenditure per person.
“There is room for efficiency gains in terms of infant survival per 1,000 live births, where Kenya records high infant mortality rates relative to Bangladesh, even though both countries spend about the same amount in public health expenditure per capita,” the report notes.
Kenya’s race to spend money to connect people to electricity has also been cited as not achieving much when compared to other lower-middle-income economies with comparable levels of public investment.
Senegal, Namibia and South Africa are cited as countries that have achieved high access to electricity despite spending way below what Kenya does.
According to the World Bank, Kenya should build staff capacity in project appraisal, selection, planning, budgeting and execution across all levels of government.
 
Mambo mengine wala huitaji WB kuyasema, akili ndogo tu unaweza kufahamu kwamba wakenya hawapati matunda ya kodi zao, vipi nchi yenye kukusanya pesa nyingi lakini;

1)Inaongoza kwa Madeni
2)Haiwezi kumalizia kipande cha SGR, Naivasha - Malaba
3)Inaongoza kwa "Unemployment"
4)Inaongoza kwa njaa
5)Inashindwa kuwatibu bure wagonjwa wa saratani
6) Inaongoza kwa slums Africa
7)Huduma za MAJI safi na salama ni shida.

Hilo la kuwejeza katika miradi ya hovyo kama "Laptop per child" badala ya kuwekeza katika KILIMO cha chakula, tulishalisemea Sana tu, " poor priorities ".
 
Nyie Tz ni bure kabisa wanafik sura mbaya.

Hii World Bank na IMF wakikanusha takwimu ghafi za uchumi Tanzania mnaona ni uongo mnakimbilia kushambulia na kupitisha sheria za kitoto. Nyani wa Tz kweli haoni kundule.
 
yani unajali kenya kushinda tanzania.you spend all your time on kenyan news
 
Nyie Tz ni bure kabisa wanafik sura mbaya.

Hii World Bank na IMF wakikanusha takwimu ghafi za uchumi Tanzania mnaona ni uongo mnakimbilia kushambulia na kupitisha sheria za kitoto. Nyani wa Tz kweli haoni kundule.
Tulia dawa ikuingie

Quote unquote

Mambo mengine wala huitaji WB kuyasema, akili ndogo tu unaweza kufahamu kwamba wakenya hawapati matunda ya kodi zao, vipi nchi yenye kukusanya pesa nyingi lakini;

1)Inaongoza kwa Madeni
2)Haiwezi kumalizia kipande cha SGR, Naivasha - Malaba
3)Inaongoza kwa "Unemployment"
4)Inaongoza kwa njaa
5)Inashindwa kuwatibu bure wagonjwa wa saratani
6) Inaongoza kwa slums Africa
7)Huduma za MAJI safi na salama ni shida.

Hilo la kuwejeza katika miradi ya hovyo kama "Laptop per child" badala ya kuwekeza katika KILIMO cha chakula, tulishalisemea Sana tu, " poor priorities ".
 
Mambo mengine wala huitaji WB kuyasema, akili ndogo tu unaweza kufahamu kwamba wakenya hawapati matunda ya kodi zao, vipi nchi yenye kukusanya pesa nyingi lakini;

1)Inaongoza kwa Madeni
2)Haiwezi kumalizia kipande cha SGR, Naivasha - Malaba
3)Inaongoza kwa "Unemployment"
4)Inaongoza kwa njaa
5)Inashindwa kuwatibu bure wagonjwa wa saratani
6) Inaongoza kwa slums Africa
7)Huduma za MAJI safi na salama ni shida.

Hilo la kuwejeza katika miradi ya hovyo kama "Laptop per child" badala ya kuwekeza katika KILIMO cha chakula, tulishalisemea Sana tu, " poor priorities ".
Yet Kenya is still better than TZ , i wonder how fucked TZ is
 
According to Gikuyu tribalist like you, but according to WB things are completely opposite.
Your small brain tells you all Kenyans are Kikuyus? it's this kind of national ignorance in Tanzania that has made your country a basket case..
 
Muulize yeye aliyesema Kenya imeizidi Tanzania akuletee, mkitupita Mimi nitaukata uume wangu
Aha ,sasa wewe ulisomea ukataji na unyama huu wakati mlipokuwa mkiwachinja albinos wa Tzed ama sio?

Aise afadhali Kenya yetu mara mia mbili aki...na ongeza takwimu bora za uchumi .
 
According to Gikuyu tribalist like you, but according to WB things are completely opposite.
Hehehe wonders shall never end. So today Tanzanians are siding with WB just because they have released a negative report on Kenya. I as a Kenya I'm happy with both WB and IMF coz they make us know our progression as well as regression. Tanzanians on the other side are only happy with WB if the statistics favor them but become aggressive once if the WB statistics criticised them.
 
Back
Top Bottom