mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,502
- 257
hapa hakuna lolote!
Wote ni watu maskini wa akili na matendo, kila mmoja wenu akimtumikia mkoloni-mweusi kwa namna na njia tofauti tofauti.
Kwamba dar au nairobi is more beutiful, sijui planned, sijum slumy yaani inakera na kutia hasira.
Cha msingi kwanini tusijiulize kwamba wenzetu ambo pengine tulikuwa sawa au pengine tuliwazidi kipindi cha uhuru lakini leo wana maendeleo makubwa katika nyanja za elimu, demokrasia, uchumi n.k. Swali ni kwamba kwa nini wao wamepiga hatua mbele na sisi tuko nyuma?
Mnaanza oh eti sijui sisi tuna mji mzuri mara ninyi mna slums sana.........
Huku hakuna namna bora ya kuelezea zaidi ya kusema ni kufiliska kimawazo!

Mara nyingi nakaa pembeni ya ugomvi wa Kenya vs Tz. Leo najitokeza walau kidogo. Kama sijakosea kukielewa kiingereza cha post, mtoa mada hajataka tuangalie upande wa pili (slums) ili kuipa balance na mashiko mada hii. Walau angeruhusu, ningeomba wao wenyewe kwa roho safi, kwa ajili ya kuwekana sawa tu, waweke picha ya ile slum yao ya katikati ya jiji.mmh kwa kweli hapa tumeshikwa pabaya. wale wataalam wa kuporomosha matusi naona wameshikwa na butwaa
co za wakenya ni za wawekezaji wa nje na wazungu wanaoishi kenya, tanzania's best places are for tanzanians that why we are proud of our natural environment that passes all these pics!
the bad thing is that you don't know the difference between having nice buildings in a bad country and having poor buildings in a good country and amnot ashamed to say you guys are the ones who walk across posta(bongo)..watching the tall buildings and then saying..." wow! we got such a nice country" while the same night you are sleeping na mbu wanakung'ata plus not sure if you will wake up healthy! i think if the guy meant what he said he should have said that lets post our poor houses and then compare! thats because most of us are poor (even you kenyans)....by the way keep enjoyig peoples buildings but remember sooner or later chaos are coming in kenyan elections (worse than Tz), rushwa ndo usiseme, ubaguzi, maskin ndo ike bongo 2...i dont get your point guys
maumivu yakizidi, pata ushauri wa daktari!
and amnot ashamed to say you guys are the ones who walk across posta(bongo)..watching the tall buildings and then saying..." wow! we got such a nice countr"