Mbona hasira na matusi? Pole, pumua mwenzangu.
Ukweli ni kwamba watu wanaweka picha za maofisi, milima, mabonde, misitu, bahari na proposed projects. Nimeishi Dar na nafahamu sehemu hizo zote, ukweli hata wewe wafahamu. Cha pili, ni wazi wewe hujatembea Nairobi kulingana na yale unayoyasema. Mwenzangu wew haujui niko wapi sasa hivi, Houston nitakutembeza mimi ili ufahamu suburbs ziko wapi. Kama umetembea Harris County ama Fort Bend basi suburbia huko!😛oa
Hello we have been fighting for a long time over all sorts of things. I would like this thread to be different, let us post pictures of our suburbs and formal settlement only (No slums). Post a picture and the name of the neighborhood, city and country. Can anyone translate the statement above to kiswahili? Pics please!! No fighting this time!😛oa
Kenya mmeshinda kny mpangilio mzuri wa makazi,tutajifunza kutoka kwenu. THREAD CLOSED
ukooo sawaaa kuhusu kenyaaa.lolkunaa bias sanaa kwenyee hizi pichaaa,ukichekii pichaa za kenyaaa nyingi zimepigwa sehemu kwenye makaziii boraaaa,hata nairobii kunaa mitaa mibayaaa,kama konaa mbayaaa...pichaa nyingi za tanzania azija chukuliwaa kwenye best location.sithani kamaa alie pigaa picha arusha,hakuonaa sehemu kunaa nyumbaa na kumepangikaaaaa vizuri,mfano...njiro,moshono,soweto....tuachee kujiangushaa wenyeweeee.