Kenyan PM Raila Odinga Blames AU for Africa's woes.

Zaidi ya kuwa kichaka cha viongozi wabovu Afrika kulindana ina msaada gani? Toka OAU mpaka AU hakuna lolote lenye ajenda ya kuwasaidia waafrika kufikia demokrasi ya kweli na kuwadhibiti viongozi wanaowadhalilisha na kuwaibia mali zao. Ndo maana hatuna maendeleo maana agenda ni kulinda individuals and not africans. Siku ya kufa na kuzikwa kwake lazima ntakunywa bia ya bariiidi kusheherekea kifo hicho
 
AU inajua nini kuhusu accauntability? Inajua nini kuhusu democracy and rule of law? Inajua nini kuhusu thamani ya waafrika maskini wenye kila aina ya mateso sababu ya viongozi wabovu ambao mara nyingine wanaongoza nchi bila hata ridhaa ya wananchi wake?
 
Back
Top Bottom