Kaligraph Jones huyu huyu ambae juz juz kaomba collabo kwa young killerThats true man Khaligraph J Is NEXT LEVEL no One in East to overtake!!
Ebwana DarKaligraph Jones huyu huyu ambae juz juz kaomba collabo kwa young killer
Nani TZ aweza toa Mziki international kama Redsan??
Music ya kibongo east Africa ndio mnaringa nayo?
Sasa amesema nini pale?? Ni kizungu hajui?? yeeeye kila saa, huyu hiyo music si yake aachiye wenyeweTye tye !!
Kweli wewe kituko
Huo wimbo na huu tupia Max
kisha tuingie Youtube tuone views
Hahaha!!!
Pole sanaSasa amesema nini pale?? Ni kizungu hajui?? yeeeye kila saa, huyu hiyo music si yake aachiye wenyewe
Si tribal stations pekee. Even the ones that play international musicSi radio za kikikuyu ambao tayari they got tribal boundary
Kenya mnavitukoSi tribal stations pekee. Even the ones that play international music
If you want a test of really Reggea love songs of all times, you get it here in KenyaBongo kweli kiboko
Bidada kajitutumua
Acha kila kabila, kila mtaa una redio yake na TV stationKenya mnavituko
Tanzania huwezi kuta ujinga kama huo
Kila kabira lina Redio yake!!
Sioni ubaya wa hilo mimi. Its promoting indeginous cultures. Kenya utapata waKikuyu wana redio kadhaa, Wajaluo, Wakamba , waLuhya , WaSomali, wakalenjin n.k. Pia wahindi wana redio yao. Plus kuna specialised stations huku pia. Utapata a radio that does rock music pekee, hip hop & rnb, reggae etcKenya mnavituko
Tanzania huwezi kuta ujinga kama huo
Kila kabira lina Redio yake!!
mtabaki hvyo hvyo .....kumbe mpaka nonini,juakali na wengine wote apo kenya wanafanya international muzic kama kaligraphNasema, hizi song za huyu dem safi, Za diamond, safi, na wengine tangu kina Juma nature, ila hujaelewa mada hapa, hizi nyimbo bongo flavor fit sana Africa Mashariki hata Kenya ni mafans sana, ila hizi nyimbo sio international. Sasa we unafikiri hii nyimbo inaqualify kwa international genres???
Ndio maana nilisema, Tanzania mnaimba nyimbo for East Africa, Kenya we sing for the world. Our Music can be listened to by any person anywhere in the world. As it has the international feel.
Listen to this, You can't tell if the singer was from USA or Europe or Africa, the genre is Rap/Hiphop that can be played world over.
Listen to the English Rap and rhyme
If you want to believe what am saying, look at this video of guys from the UK reacting to the song, the guys says, "They sound American" and they appreciate the rap
mbona bongo dizain ya kaligraph wapo kibao tena wanamzidi huyo isipokuwa hawajapata nafasi ya kutambulikaHawawezi, unajua huwa wanaona music yao inasikizwa sana Kenya wanadhani sasa hiyo ndo kuwa internatiional.
Kama ni Diamond, yeye huforce indexing ya songs zake kwenye Youtube, yaani ukisearch song yoyote hata iwe ya Culture utaona kwenye list hiyo wimbo wa Diamond, waswahili husema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Diamond songs zake ni pop songs ambazo after years hakuna mwenye atazikumbuka tena, wako wapi kina TID, Mangwea, Temba, but songs done by E-sir from Kenya are still being listened to today, not only in Kenya but even in Countries like UK and USA
edward usijidanganye kimisingi mziki wa nchi yeyote ule ni international cha msingi utengeneze kitu bora chenye kiwango kuanzia audio mpaka video ziwe kwenye kiwango bora...Tanzania Music ni ya hapa hapa East Africa, tutajifunza nini toka kwao??
kwa kipi ulichowakilisha dunia....kwa huu mziki acha ushamba kama kanye,chris brown na mastaa wote wakubwa duniani mwelekeo wao wote wanautazama kupitia youtube sembuse kenya ha haaaa Mbaki hvyo hvyo ha haa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nakucheka kwa dharauKwa haya mambo wewe huelewi, kuna watu huweka premium ngoma zao kwenye Youtube ndio wapate pesa kama vile Diamond, Premium acount inampa access zaidi na watu wanaoingia youtube, huo ni mtindo wakibongo, Wakenya sio hivyo, Kuweka mziki wao youtube sio maana sana sababu hawapati pesa huko, watu watizame wasitizame wanapesa zaidi, juzi umeona Diamond akilalamika kwamba Youtube inawakulia???? Hii ni sababu, amewekeza sana kwenye Youtube, anapopata Subscribers wengi ndio apate pesa.
Kenya mambo ya Youtube ni ya malimbukeni, wale hawana pesa, Sisi tunawakilisha duniani, Bongo inawakilisha Africa Mashariki