Kenyan ku-band channels

Kenyan ku-band channels

Jmo

Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
17
Reaction score
2
Jamani habari zenu?
Wakubwa wenye maujanja ya satellite dishes, nawaomba mnielimishe:
1) Kuhusu frequencies na symbol rate za Citizen tv ya Kenya, na namna ya kuifunga pale kwenye dish la futi 6.
2) Nauliza kama KBC, K24 bado wapo hewani kwenye freq 11026 v symbol rate 9693 Ku-band?
Nawasilisha.
 
kama unazungumzia NSS 12,57E iliyobakia Hapo ni K24,receiver lazima iwe mpg4,fuatilia Luna Uzi humu umeelezea hiyo site ya Ku band channel za kenya
 
Ahsante bwana Tusichoke, kwa hiyo Mpeg 2 ndo kusema kwa heri!
 
Ahsante bwana Tusichoke, kwa hiyo Mpeg 2 ndo kusema kwa heri!

Ndio hivyo mpeg2 si lolote tutabakia kukamatia channel za tz tena za 64E,pia leo nilikuwa napitia updates za channel nikakuta kuwa hata k24 pale Nss 12 imehama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom